Recent content by Kinyambiss

 1. Kinyambiss

  Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

  People, let's be critical. Saivi, all you see is jazba, and rather shallow discussions about 'fake smiles'. Of course the smiles are fake, its politics, that's what it takes to occupy high office. Cant we discuss the relations between Tanzania, Rwanda, DRC, m23, Uganda, EAC...? For instance...
 2. Kinyambiss

  Vurugu Bungeni-"Blessing in Disguise!"- "Ni Kitendo cha Kishujaa! Kinachostahili Kupongezwa!".

  Tatizo la watu humu ni jazba na mawazo yanayoelekezwa na hisia badala ya LOGIC. "KUB" inaweza kumaanisha Kubwa Jinga au Kiongozi wa Ujinga Bungeni. Mamlaka yapo kwa sababu bila mamlaka hakuna utawala. Kura zimepigwa za mdomo watu wameomba zihesabiwe, zimehesabiwa... watu wametupilia mbali...
 3. Kinyambiss

  Jobs at environmental consultancy firm

  Dear All, The following positions are available at an Environmental Consultancy company. Sociologist To deal with the collection of anthropological and social data, analysis and report writing amongst other tasks. Environmental Scientist EIAs, SIAs, EAs, and other environment sector...
 4. Kinyambiss

  Office Manager/Cashier job at Modern Gentlemen's Salon & Spa

  Position: We are looking for a dynamic person with experience in management possibly in the beauty and wellness industry. Educational requirements are basic secondary education plus a certificate, diploma in either management, beauty and hair care or hospitality and other customer service based...
 5. Kinyambiss

  Mapinduzi yaja Tanzania

  now I remember why I hardly say anything on this forum these days... K-out.
 6. Kinyambiss

  Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

  Hii thread ina dalili za u-'kinyume na maumbile'. Hafai huyu watu millioni 40, yeye nani?
 7. Kinyambiss

  Zitto Kabwe mbunge wa kwanza kutumia iPad Bungeni

  Hunatofauti na watu wa mipasho. You know not of whom you speak. I found Zitto's speech to be highly agreeable and most sensible. I however, do not condone nor support the practice of dwelling in trivia. And as such, I find this thread to be immaterial to the interests and wellbeing of the people...
 8. Kinyambiss

  East African Countries' Budgets

  we akili ata huna.. wtf is 'crea' mijitu mingine sijui ilizaliwa tundu gani..
 9. Kinyambiss

  Kamanda Nzowa ajitokeza, ataja mchungaji anayejihususha na dawa za kulevya

  kubambika nini wakati kweli wanauza unga... JF bwana ata hitler mngemtetea kama JK angemtaja. Watu kuweni na akili basi ata kidogo angalau..khaaa! Sio huyo tuu wako wengi wachungaji-UNGA
 10. Kinyambiss

  Ni Ubaya Wa Lowassa Au Udhaifu Wa JK?

  Lowassa Effd himself by stealing a ridiculous amount of money ( which he never really needed) and even attempted to assassinate those who exposed him for what he is ( Mwakyembe) and therefore he will never ever be president of Tanzania (2015 he can forget and 2025 he will be too old or dead) so...
 11. Kinyambiss

  Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

  Kama watu wanauza unga Rais acha awaambie tuu kuwa ni wauza unga. Atakama ni mecca wanaenda kuchukua unga. Watu wanaushabiki mpaka kwenye mambo yanayoathiri watu wote. Kwani madawa ya kulevya yanawapa stimu vijana wakikristo pekeyao au wakiislamu? je baniani? Acheni upuuuuzi humu JF kuna watu...
 12. Kinyambiss

  Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

  kwanini wapoteze mafuta ya chopper...apande ndinga tuu...
 13. Kinyambiss

  Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

  Hawa CDM nao nishaona wakipewa madaraka ndio wale wale. Corruption haiwezi isha Tanzania kwa kubadili serikali pekee. Inabidi yani tuanze kusafisha akili za watoto wadogo sasa hivi ili baadae iwe ngumu kwao kucheza hii michezo ambayo kibongo bongo ni yakilasiku. Napia vile vile inabidi...
 14. Kinyambiss

  Bank M Kukusanya Kodi kwa niaba ya TRA - Wao wanapata nini?

  Nyie watu mnatatizo la paranoia. Mkienda TRA mnalalamika mistari mirefu mkiraisishiwa mnaogopa. Chamsingi ni kuhakikisha hakuna michezo michafu lakini kiujumla hii ni service nzuri..
Top Bottom