Recent content by kintekunte

  1. K

    Kauli ya Zitto Kabwe na viongozi wa UVCCM

    Naomba niliweke wazi kabisa kuwa mimi si mwana siasa Kwa hili la zito nadhani hoja zingejibiwa kwa hoja... 1. Zito kaandika barua kwa kificho WB nanyi mmeipata kwa kificho tumeni barua yenye maelezo dhidi ya tuhuma za Zito WB ili ukweli ufahamike kuwa zito ni msaliti, mzushi na mwongo 2...
  2. K

    Ubabe hadi Canada? This time you're done

    KWA HILI NADHAN WAZIRI AUATUINGIZA CHAKA. KUNA UKWELI ANAOUFICHA
  3. K

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Mnh.... sidhani kama hii ni kweli, nadjani tunapaswa kujua kitu hapa SI KILA KITU IDARA YA USALAMA WANAKIFAMU.
  4. K

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    wabadilishiwe majukukumu. kuna watu wengi wako tiss ila wamepewa majukumu ya taaluma zao, fanya kazi lakini si moja kwa moja na mfumo
  5. K

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Kwa mtazamo wangu mimi sidhani kama Kapilimba ana shida au shida na matatizo ndani ya TISS yameanzi kwa ndugu yangu Kapilimba. LAHASHA...shida hii ilianza mwaka 2008 pale ambapo ilianzishwa recrutment directory ya vijana wa kuingia TISS. Vijana wengi walikuwa wakifuatwa vyuoni na makazi kisha...
  6. K

    ATCL kunazidi kunoga

    Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza. Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya...
  7. K

    Team Magufuli vs Team Mafisadi

    Mimi napingana sana na kauli hizi, pia nategemea baadhi ya vipengele na hoja zetu zisiwekewe siasa hadi zikapitiliza. Mtoa hoja hapa kaleta siasa na si uhalisia wa maisha ya hao watanzania masikini tunaosema kila siku. Wakati nasoma uchumi kidato cha tano mwalimu wangu alinifundisha kitu...
  8. K

    Mtazamo wangu juu ya upinzani vs Rais na RC Makonda

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mihadhara mingi inayofanywa na Muheshimiwa Raisi wetu wa JMT pamoja na mkuu wa mkoa wa Dsm. Wote kwa pamoja wamekuwa wakiwananga wapinzani na kudhani kuwa hakuna wanachofanya wanalalamika tu . Hili linafanywa eidha kwakujua au kutojua msaada wa kuwa na wapinzan...
  9. K

    Hii Dharau na Matusi kwa Watanzania mpaka lini? Tukatae kuwa sasa Inatosha

    Ndugu yangu, nimepitia thread yako nashindwa kukuelewa kuwa wewe ni mwanasiasa ama ni msomi ....nilichogundua ni kwamba huelewi unachotaka kukisema ila una nia thabiti ya kumshambulia Member Kamilius Bernard. Suala la uongozi wa nchi si suala la kujipangia ni suala la kimkakati na kwenye nchi...
  10. K

    Bernard Membe: Polepole apelekwe shule kuijua vyema itikadi ya CCM. Ni ajabu Kamati Kuu kukaa bila Katibu Mkuu

    Mzee Membe kasema mambo mengi ya msingi,shida inaanza pale watu kama hawa hawaoni nia njema iliyopo ndani ya kile alichomaanisha. Nilichogundua ni kwamba watu wengi huyu anayejiita msemaji ukweli akiwepo hajawahi kufika hizo mchi mbali zaidi alipofika ni Kimara. Among many other things that will...
  11. K

    UREMBO WA NYUMBA(DRUMLIN CONTRACTORS)

    Hizo ni baadhi tu ya kazi zetu wadau
  12. K

    UREMBO WA NYUMBA(DRUMLIN CONTRACTORS)

    Nyumba ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Watuwengi wamwjitahidi kujenga nyumba nzuri lakini zimeshindwa kufikia ndoto zao kwa sababu ndogo ndogo zikiwemo Kipato duni, kutumia mafundi wasio bora, rangi wanazotumia na mambo mengine mengi tu. KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO HIZI...
  13. K

    Urembo wa nyumba(Drumlin Contractors)

    Nyumba ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Watuwengi wamwjitahidi kujenga nyumba nzuri lakini zimeshindwa kufikia ndoto zao kwa sababu ndogo ndogo zikiwemo Kipato duni, kutumia mafundi wasio bora, rangi wanazotumia na mambo mengine mengi tu. KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO HIZI...
Back
Top Bottom