Katika hatua za maisha, karibu kila mtu hulazimika kuwa mpangaji katika makazi ya mtu mwingine kabla ya kujenga au kumiliki makazi yake mwenyewe. Kutokana na umuhimu mkubwa wa soko la makazi (real estate) na kupanda kwa gharama za maisha kila siku, ipo haja ya kuwepo kwa sheria madhubuti za...
Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting.
Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji...
Kunae uncle wangu , bachelor baada ya kumaliza chuo na kupata kazi ameanza kujipata , anataka kununua usafiri wa kumsaidia kwenye shughuli zake za kila siku jijini Dar es Salaam .
Ameniomba ushauri kati ya Crown, Premio new model au RVR ni ipi itamfaa zaidi based on comfort, running and...
Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya...
Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana...
Mimi ni mkristo lakini nakiri kwamba wenzetu waislamu ni waaminifu zaidi unapofanya nao biashara.
Naelewa uaminifu ni hulka binafsi ya mtu hata kule Zanzibar kuna matapeli wa Pemba wa TV na Fridge 😅.
lakini unapofanya biashara na mkristo na muislamu ambaye kila mmoja anajitabanisha kuishika...
Nimetembelea masoko mbalimbali hapa Tanzania, hali ya Usafi kwakweli huwa sio nzuri, takataka, harufu mbaya, mitaro ya maji taka, vyoo vina hali mbaya .
Kwanini watanzania hatuna utamaduni wa usafi. Masoko haya yana uongozi, bwana afya.
Tustaarabike
We must teach our children to politely say No when something isn’t right.
Many millennials , Gen X and baby boomers ( wengi tupo makundi haya ) were raised to believe authority is infallible especially within families and obedience was unconditional. While this taught respect and order, it...
Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa karibu na operators, mafundi ,drillers na madereva wanaofanya kazi kwenye kampuni za uchimbaji wa madini hapa nchini.
Nilishangazwa kubaini kwamba wengi wao mishahara na marupurupu yao ni kati ya 3M mpaka 10M kila mwezi . Lakini maendeleo waliyonayo...
Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia.
Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup...
Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi kwa sasa ni ya kusikitisha. Safari zimekuwa mateso, msongamano ni wa kutisha katika mabasi haya kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.