Sasa kama waziri kaenda kuzindua jengo lilijegwa kwa mamilion ya pesa akatoa tamko kisifunguliwe takukuru wachunguze ila kesho yake jengo limefunguliwa linafanya kaz hata kama ni wewe utaendelea na hii serikali yaan pale alikua waziri mkuu kivuli mtendandaji alikua mwigulu
Simkumbuki kwa chochote zaid ya kukaa kimya akiona watu wakitekwa na kupotezwa kisa siasa kashindwa kutoa tamko lolote wakati ndo mtendandaji mkuu wa serikali
Shida inakuja kupeana kaz kwa kujuana watu weng wenye ueledi na kazi hawakupa nafasi etc unaweza usiwe na academic certs na ukafanya vzr zaidi ya mwenye anazo e.g msajili laini anaweza kufanya kazi kwa 100% next time serikal ichunguze kwa makini binafs sina academic certs kwa sababu mnakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.