Recent content by kinjekitileh

  1. K

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Hizo belo zinapatikana wapi hayo maduka plse na mimi nahitaji belo za magauni.
  2. K

    Natafuta wanakouza mitumba magauni first class contacts plse

    Hiyo mitumba ninayotafuta ni kwa bello za mitumba sio nguo moja moja
  3. K

    Natafuta wanakouza mitumba magauni first class contacts plse

    Hi members Naomba mnijuze mahali wanauza mitumba first class nataka nunua pliz help in box me. Kinjekitleh
  4. K

    Kuhusu kazi shirika la nyumba (NHC)

    sijasikia kabisa huenda bado
  5. K

    Machine za kutoa sumu mwilini

    mmh mi mgeni mwenzenu sielewi kama ni kweli na coments zinafurahisha
  6. K

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    elnino hongera. naomba na mimi nisaidie nipate mashamba napenda sana kulima niko serious na ninataka kuanza soon hata 50 eka plse help kinjekitileh
  7. K

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    mimi pia napenda kulima just give me guidance nitafutie namimi eneo nije mimi nimechoka kupokea mil moja kila siku kama take home. naweza kupata eneo nami nibadilishe maisha yangu napenda kulima sana na napenda kuwa mkulima mkubwa plse nisaidie. mimi hata 5 days a month naweza kukaa shamba...
  8. K

    Mwamvita Makamba apandishwa cheo

    hongera mamito keep it up
  9. K

    Nampenda Martha Mwaipaja

    je kuna mtu anazo nyimbo zake nipate kuzisikiliza za martha mwaipaja
  10. K

    Nampenda Martha Mwaipaja

    huyo martha kiukweli ni mzuri sana hata kwa asiyetaka kusema atajivunga tuu kujifanya haoni lakini ukweli unabaki kuwa ule ule demu ni mkali noma plus sauti ndo kabisa anafunika mbaya. yutong kazana baba jikaze upate kumuoa. mtokee church
Back
Top Bottom