Recent content by kinja

  1. kinja

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    uheshimu moyo wako, nenda katika msikiti wa karibu mwone imamu atakupa utaratibu wa kusilimu na kuwa muislamu. Uislamu hauna maigizo, jana, leo wala kesho.
  2. kinja

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ruvuma: Souwasa mnatupiga sana bila hata huruma

    Jaribu kuwasiliana na Mamlaka kuna uwezekano mkubwa kulikuwa na uvujaji wa maji kwenye miundombinu ya mbele ya mita yako. Hata wewe unaweza kufuatilia kwa sababu kwenye hiyo bili yako inaonyesha usomaji wa mita wa sasa hivyo ni rahisi kulinganisha na usomaji kwenye mita yako.
  3. kinja

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

    MMM umenena vya kutosha na uchambuzi wako ni makini kwa wanaoangalia mambo bila kusukumwa na hulka za kiitikadi. Hongera na mwenyezi Mungu akubariki
  4. kinja

    JamiiForums Tanzania Tamko la ACT-Wazalendo juu ya kusitishwa misaada ya MCC

    Mfano Ghana, unakumbuka uchaguzi wa 2012 pamoja na uchaguzi kutangazwa kuwa wa huru na haki huku rais akishinda chama tawala na wabunge wengi toka upinzani. Wapinzani bado walipinga mpaka mahakama ilipotoa hukumu mwezi Agosti 2013 kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki ndipo walipokubali. Changamoto...
  5. kinja

    JamiiForums Tanzania Tamko la ACT-Wazalendo juu ya kusitishwa misaada ya MCC

    Niwie radhi Erythrocyte kama unaona nimekutukana na nimekukwaza lakini sikumaainisha hivyo ndugu yangu. Inanipa shida sana kuona mtanzania anashabikia athari ya jambo kana kwamba hilo litawapata wana CCM peke yao. Sisi watanzania wa vyama vyote tutafaidika au kuathirika na jambo lolote lile...
  6. kinja

    JamiiForums Tanzania Tamko la ACT-Wazalendo juu ya kusitishwa misaada ya MCC

    Tanzania bado ni moja ya nchi za kupigiwa mfano au unajifanya kujitoa ufahamu. Jaribu kuweka nchi moja tu ambayo unaweza kusema inayo demokrasia ya kweli kuishinda TZ. Endelea kufurahia upumbavu na ujinga wako lakini utakapopata akili nafsi yako itakuambia your thinking capacity were far beyond...
  7. kinja

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kenya, akiwemo Katibu Mkuu wa Nishati wadakwa bandari ya Tanga

    Hongera kwa uchambuzi mzuri na tukimaliza sekta hii tuhamie utalii mpaka washike adabu. Tanzania kwanza
  8. kinja

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jk alipewa urais na Lowassa sio kura za wananchi

    :high5::high5:
  9. kinja

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jk alipewa urais na Lowassa sio kura za wananchi

    Kama naanza kumwelewa Mkapa
  10. kinja

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atakuwa live hotmix EATV

    Big up
  11. kinja

    JamiiForums Tanzania Vita Rashid Mfaume Kawawa

    Upo sawa kabisa. Kwanza kuna maswali mengi ya kujiuliza hivi pamoja na cv yake haijakamilika kwa majubu wa madai, hivi hiki chuo cha uingereza hakikuangalia background ya elimu yake. Tuache uzandiki kwani vita amechaguliwa na wananchi wa Namtumbo kwa kuzingatia sifa walizoona anazo. Ila hoja...
  12. kinja

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo ahamia CHADEMA

    umenikumbusha tena jamaa huyu hafai amshukuru war vinginevyo angeungana na akina mashilingi kwani alimsapoti mjomba sumu ye.
  13. kinja

    JamiiForums Tanzania Maji hadi mvua ianze kunyesha-SOUWASA SONGEA

    Tuache ushabiki wa siasa katika mambo muhimu kama huduma ya maji. Ni kweli kuna tatizo la maji lakini sidhani kama jibu alililosema limetoka katika ofisi za idara ya maji (SOUWASA). Moja ya maeneo ya miji ya Tanzania ambako huduma ya maji hupatikana kwa wakati wote isipokuwa mwezi mmoja au...
  14. kinja

    JamiiForums Tanzania Huge Economic loss caused by Magufuli

    Na haitawepo. Jamani wa tz tuwe wakweli simtetei MAGUFULI ila tatizo nisheria zetu na utendaji wetu. watu wametoa mifano mingi ya hasara ambazo zimesababishwa na maamuzi ya POMBE MAGUFULI. Mimi naungana naye kwani hasara za fidia, gharama za kutunza samaki ni ujizuzu kwa sababu wizi wa samaki...
  15. kinja

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Naon tunatakakuingizwa katika mgogoro ambao utachafua hali ya amani nchini. Tusishabikie leo tunaipongeza sirikali juu ya iman na tunailaani juu ya mwanahal
Back
Top Bottom