Nimepakiza mzigo wangu toka tarehe 10, October, 2025 kuto China 🇨🇳 kuja Tanzania lakini mpaka sasa mzigo haujafika.
Kila ninapowasiliana na Agent na msafirishaji ambaye ni Silent Ocean naambiwa Kuna foleni bandari ilihali nilisafirisha mzigo mwingine kupitia kampuni tofauti ya GnmCargo lakini...
Habari..
Mimi ni mjasiriamali ninayeanza kujitafuta, naomba kama kuna namna naweza kufanya biashara kati ya Thailand na Tanzania.
Nimejaribu kufatilia business platforms za Thailand nimeona zipo restricted kwa matumizi ya ndani tu ama na nchi chache za jirani. Hivyo, kama kuna kampuni ya...
Hili ni jambo la kusikitisha sana baada ya waalimu mkoani Mwanza kufanya mafunzo ya mtaala mpya bila Posho ya kujikimu wakiwa mafunzoni.
Fikiria serikali inatekeleza jambo kubwa kama hili halafu unamtoa Mwalimu nje ya kituo chake cha kazj anahudhuria seminar bila Allawance yeyote?
Kwa nini...
Naomba kujua Kama kuna mtu amewahi kukutana na hili jambo na je alifanya nini?
Mimi ni mtumishi wa Umma ninayechangia bima ya Afya kama mtumishi. Nimejaza form za kuomba mzee wangu kuingizwa kwenye Bima ya afya lakini imeshindika kwa sababu ya kutofautiana majina na form yangu imerudishwa.
Kwa...
Naomba kufahamishwa sababu ya serikali kushindwa kuruhusu ujenzi wa vituo vya Gesi asilia kuenea nchi nzima.
Nimeona wabunge wakilalamika bila kuadress issues haswa ni kwa nini Kuna vituo viwili tu vya Gas asilia ya kwenye magari nchi nzima ukizingatia matumizi yake ni cheap na Affordable kwa...
Week iliyoisha siku ya jumatatu nilikuwa nafatilia namba ya NIDA katika halmashauri ya Nyamagana. Nikaenda pale ofisi za NIDA nikaambiwa niwasubiri watumishi wameenda Kunywa Chai, nikasubiri mpaka saa 10 jioni walikuwa bado hawajarudi baadae nikaambiwa wameondoka nirudi kesho. Yarab!
Niliporudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.