Hisia ikizidi akili ya kawaida lazima mtu atakuwa na maamuzi ya kijingajinga tu wakati wote. Mara nyingi wanawake hufanya maamuzi au kutoa maamuzi Kwa kuzingatia wakati uliopo
Huwenda babaake alimtapeli mamaake pia.
Wanawake wengi siku hizi wamekuwa na matarajio makubwa Sana na wababa wanaokuwa nao sasa mambo ya kuingiza yakiisha basi mwanaume anakuwa tapeli
Hakika
Labda kama unazungumzia hapo ulipo wewe Tu ndio inaweza kuwa mwezi ila kama ni Tanzania nzima aise watu wa pikipiki wanakufa Sana......
Wengi wao ni namna yanavyoenda nazo ni kama wamezoea Sana au labda ni kama wanawaza kuwa upo ufufuo
Sisi tuonao hivi na wao waonao vile Nani wapo sahihi? Ikiwa kila mtu atabaki na muono wake basi kuliponya hili Taifa labda iwe Kwa msaada wa watu wa marekani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.