Recent content by kingsami

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya Mwana Wa Mweusi

    Kinaitwa Mwana Wa Mweusi . Ungependa kukisoma chote mkuu?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya Mwana Wa Mweusi

    Mwana wa Mweusi Maono ya mwanzo na mwisho Sura ya Kwanza: Usiku Ufuoni Mimi Majura, mwana wa Mweusi. Nilizaliwa na kukulia kando ya bahari, mahali ambapo harufu ya chumvi huingia hadi ndani ya nguo zako na haitoki, hata ukizifua mara mia. Lakini pwani yetu si pwani ya kawaida. Ni mahali...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi ya Kujitolea: Wahariri na Waandishi Wakuu wa Habari (Editorial Volunteers) - Global Primegates Limited

    .
  4. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza mashine yangu ya kutengeneza sabuni za miche

    Million 5 maongezi yapo mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza mashine yangu ya kutengeneza sabuni za miche

    Nauza mashine ya kutengeneza sabuni za miche iko complete na mixer ya lita 100 inafaaa kwa uwekezaji WA kiwanda kidogo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    We jamaa Una Umri gani?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    introvert ya nyoko
  8. K

    JamiiForums Tanzania Marekani, Uingereza waungana kuonyesha wasiwasi wao juu ya hali ya Utoaji Haki nchini

    Kweli kabisa mkuu Jinsi walivyo angaika na hii issue Wanajipalia mkaa baadae
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kitu gani Tanzania kina perform kwa ubora wa hali ya juu sana? Tufahamishane!

    Kuunga Mkono Juhudi za Mtukufu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

    Mkuu Oa mwanafunzi kama unamashaka na mwalimu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sweden imekasirishwa kuona Tanzania ikipokea maelfu ya watalii kutoka China?

    Mkuu Watalii wa kichina wanachukiwa duniani kote kutokana na tabia zao. kwanza ni cheap tourist wanatembea makundi makundi na kila kundi ni kuanzia watu 40 kwenda juu kiasi huleta tabu na misongamano kwa wenyeji wa miji walio tembelea, kikubwa zaidi ni tabia za kujisaidia ajakubwa na ndogo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye utumwa wa mapenzi wa kujitakia, naomba ushauri

    Mkuu Ijumaa sio Mbali vumilia endelea kula papuchi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A8 vs iPhone 6+

    Mkuu A6+ uwezi kuilinganisha na A8 uliza au angalia specification za A6+ na A8
  14. K

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A8 vs iPhone 6+

    Njoo nikuuzie galaxy A6+ ya 2018 check link kwa specification zake https://www.gsmarena.com/samsung_galaxy_a6+_(2018)-9156.php
Back
Top Bottom