Recent content by Kingrato

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

    Lakini pia anapaswa ajue kuwa Price ya hapa nchini inaconsider cost za manunuzi kwa mwezi husika na ndio mfumo EWURA wanautumia kwahiyo sio wanalazimishwa kuuza kwa bei hiyo ila ni kuwa regulator anajua mafuta yalinunuliwa kwa cost zipi na yanapaswa kuuzwa kwa cost ipi ndio sababu inawezekana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

    Weka mafuta leo kesho bei inapanda mark my word kwa Tsh. 150- 170
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bei mpya ya mafuta: Ewura chonde chonde ipitieni upya

    Unajua mkuu katika lita moja ya mafuta nchini karibu sh 700 ni kodi ya serikali pekee na hapo ujaongeza other statutory charges sijui TBS, EWURA, WMA, Railway Levy, Marking charges na Wharfage charges
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bei mpya ya mafuta: Ewura chonde chonde ipitieni upya

    Mfumo wa upangaji bei wa nchi yetu katika sekta ya mafuta ukiujua hautakusumbua sababu bei iliyopangwa sasa mwezi wa April hayo mafuta yalinunuliwa katika soko la dunia mwezi wa February na yaliingizwa nchini mwezi March.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Oil price crushes by 30% at the market open

    Yes hata kama bei itakuwa imepanda sababu ya aina ya mfumo wa upangaji bei wetu inamaana kama mwezi wa nne itapanda basi tambua kwetu mwezi June pia bei zitapanda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

    Safari hii wafanyabiashara wamekaa na serikali na kuomba wasiagize mafuta kwani Wana akiba kubwa Ila ukiunganisha dot utagundua ni ujanja kwa sababu bei imeanguka Sana na wao wanaagiza kutokana na mahitaji ya nchi Ukweli ni kwamba mafuta yaliyopo nchini ni mengi ambayo yaliingia January na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Oil price crushes by 30% at the market open

    Unachokiona sasahivi kwenye soko la dunia kitakuja kuonekana kwenye bei za mafuta kwa Tanzania mwezi May 2020 sababu EWURA wanatumia M-2
  8. K

Back
Top Bottom