tembelea hii website, jioonee mifumo mbali mbali.. unaweza kuhitaji nikakutengenezea, au ukaniajiri nikawa sehemu ya waajiriwa wako. website Portfolio App
pia waweza kunipigia 0620224372. am available for interview. (PHP/LARAVEL good at API development, backend and full MVC
Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu.
Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...
Inshallah Mkuu, matamanio yangu ni kuwa self employed, ndiyo maana pamoja na kuweka hizi posts za projects, ni moja ya marketing, maana yake, mtu akihitiaji mfumo tunahitaji biashara
asante mkuu kwa wazo zuri, ofcourse kwa sasa nipo kwenye marketing, japo ni mambo machache ya kifedha diyo yamenirudisha nyuma, kuna mambo ya kifamilia ndiyo yalinirudisha kidogo.
nimeweka hizo options zote, lakini haimaanishi kwamba nategemea sana ajira na kutelekeza mifumo yangu, La! Hasha...
SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA – NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA
Habari wana JamiiForums,
Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza mifumo ya kisasa ya Web Applications kwa ajili ya biashara na taasisi mbalimbali.
Kwa sasa ninatafuta...
Kwa wale wadau wa CLEARING AND FORWARDING COMPANIES AND AGENTS, Nimewaletea mfumo unaotatua matatizo yenu yote..
huu mfumo una kila kitu cha kukuwezesha kuwahudumia wateja wako kwa ufasihi, mteja anaweza kujua hali ya mzigo/container yake,
picha inaanza:
1. Dashboard: hii inakupa summary ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.