Recent content by kingoli

  1. K

    Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    Suala la msingi ni ww kufanya maamuzi magumu ya kuwatimua hao wakwe zako warudi kijijini walipotokea ila sio kum cheat mke wako kisa wazazi wake wameongeza mzigo kwenye familia yako huo ni utoto..BE A MAN AND DEAL WITH IT LIKE A MAN!!!
  2. K

    Treat a Man like a Man! ukimlea lea mwanaume you are turning him to something even you wont like it

    gud message..wadada mfanyie kazi sasa na wanaume 2zidi kugangamala!!!!!
  3. K

    Namshukuru Mungu

    Hongera sana kiongozi wengine bado giza tu mbele yetu..ila mungu ni mwema na hatma ya kila mwanadamu ipo mikononi mwake...
  4. K

    Ushuhuda: Kazi zipo jamani!

    amen...GOD'S TIME IS THE BEST.2nasubiria
  5. K

    Umefikia wapi kijana mwenzangu katika suala la ajira tangu umalize shule au chuo?

    mimi nimemaliza chuo mwaka 2012 mpaka sasa sijapata ajira ya kudumu zaidi nlipata kazi ya temporary katika shirika moja la umma tangu mwaka 2012 mpaka mwaka huu mwezi wa 4 nlipositishiwa mkataba.nina mtoto mmoja mwenye umri wa miezi mi4 na kazi ndo sina kwa sasa na hata la kufanya sina maana...
  6. K

    Umechoka kutafuta kazi? Jaribu njia hii ya maombi

    ameniiiiiiiiiiii..ngoja tuanze sasa kusali ili tulete ushuhuda kwa wale wasio amini na waamini.
  7. K

    Nafasi za kazi TPDC, May 2015

    Nafasi hizo changamkieni wadau....
  8. K

    Mke wangu amepata zero kwenye interview, ananilaumu

    we jamaa mchepuko una kuhusu sanaaa kwa sasa!!!
  9. K

    Mgomo wa daladala umeibua michepuko mipya na kufufua ya zamani

    tanzania zaidi ya uijuavyo!!!!!TUTfika kweliiiiiii:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
  10. K

    Ebay

    nisaidieni jaman kuna vitu nliviona ebay na nlikua interest kununua ila ckua najua procedures na nini haswa kinatakiwa ili kununua vitu pale.so kwa mlio wahi nunua mnaeza nsaidia nkapata kujua na pia kwa wengine wasiojua wakapata kuja pia.
  11. K

    walioomba utumishi TIC wametoa majina kwa interview

    majina walioitwa utumishi kwa interview
  12. K

    administrative and human resources officers

    hellow,kwa wale wenzangu waliosoma public administration na human resources,mimi nlituma cv yangu nkabahatika kupata kazi kama sales executive..na sasa zimetoka nafasi za watu wa administration so kwa wataokua interested wanaweza kutuma cv zao kwenye hii email.farmflowers255@gmail.com,kama...
  13. K

    Copy & Paste From FB

    :majani7::msela::msela::violin::violin::horn::clap2::drum::rockon:
  14. K

    muoneni huyu jaman

    matapeli wamezidi sana duuuuh!hii inaonyesha jinsi gani maisha kwa sasa yamekua magumu!!!!!
Back
Top Bottom