Recent content by Kingkuta_tz

  1. Kingkuta_tz

    CHADEMA ijayo chini ya Lissu: Godbless Lema, Makamu upande wa Bara; John Heche, Katibu Mkuu

    Unakosea cjawai kua CCM ila naongea ukweli kwasababu nauzoefu na siasa za chadema
  2. Kingkuta_tz

    Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

    Inafikirisha sana mbna kama si ajabu sana but naona kama unapromote
  3. Kingkuta_tz

    Serikali ingilieni kati kushusha bei ya vitu

    Hakuna dalili ya kushuka vitu bei muimu ni kupandisha bei na wewe ya vitu unavyouza
  4. Kingkuta_tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu leo mizigo amuwek tupen timu
  5. Kingkuta_tz

    Mchumba wangu ni mwezi wa pili hajaingia period na amepima hana mimba

    its hormone imbalance broo and is very common to women
  6. Kingkuta_tz

    Hii hali niliyonayo ndio inaitwa upungufu wa nguvu za kiume au vipi?

    Miaka yako na kilo ni inverse proportion labda kama height yako ni ndogo but tatizo ulilonalo linaanzia kwenye brain kwa haraka haraka inaonekana unapendelea sana wanawake wanene Chakufanya na kikakusaidia kwanza ni mazoezi diet(ndizi,vitunguu swaumu,tangawizi)asubui na jioni and jaribu...
  7. Kingkuta_tz

    Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

    Your not serias mzee iv unapokea milion 3 bado swala la demu utafte mtandaoni Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  8. Kingkuta_tz

    Nimepata G.P.A YA 2.8 katika Kozi ya Uhasibu nahitaji kusoma Degree naombwni ushauri

    Pamoja sana nakupromice hutojutia maamuz na MUNGU atajalia tuh tupambane
  9. Kingkuta_tz

    Nimepata G.P.A YA 2.8 katika Kozi ya Uhasibu nahitaji kusoma Degree naombwni ushauri

    Bro degree hasa ya uhasibu kuisoma si vibaya changamoto ni ajira cha kukushaur fanya kazi zote mbili garage na uhasibu then unakua na plan A andB ajira za ao maboss zakijinga sana mda wwote unapoteza ajira lkn ufund ni mali yako mpk kufa alafu ukishapata pesa utaenda kusoma tu lkn kama familia...
  10. Kingkuta_tz

    Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

    Chamuimu bro sio kuachana nae ila kuzungumza nae vzur uwez achana na mtu pasipo ushaid jiulize utaachana na wangapi ndugu yangu amna kinachoshndkana kwenye mazngumzo na unaashiria kbsa bado unampenda
  11. Kingkuta_tz

    Kutumia Dola ni kukosa hoja?

    Mimi nadhani hamkuelewa kauli ya katibu na tatizo letu watanzania kila kauli kutoka ccm uwa tunaichukulia kipinzani naomba ukasikilize tena maana Juma kaparatu aliomba katibu aweke sawa maelezo na aliongea vizur usipotoshe uma Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom