Recent content by kingkongtz

  1. kingkongtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simwelewi naombeni msaada wa kimawazo

    wakuu kwema Naombeni msaada wa kimawazo Kuna mwanamke nampenda sana huu ni mwez wa 3 nipo nae kwenye mahusiano. Kabla sijaanza nae mahusiano niliwah kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanijibu alikuw na mtu ila aliamua kumuacha kisha akamblock sehemu zote kwa madai huyo ex boyfriend...
  2. kingkongtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipompenda Bila Kujua: Penzi Langu na Mwanafunzi wa Kidato cha Mwisho

    wakuu kwema natumain mko salama kabisa Ninachangamoto kubwa hapa imetokea naombeni ushauri . Nilikuw na mahusiano na binti mmoja ivi alitokea kunielewa ana miaka 18 basi tukajikuta tupo kwenye mahusiano na tukapendana sana tatzo lilikuja baada ya kugundua ni mwanafunzi na yupo kidato cha...
  3. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

    [emoji3][emoji3]
  4. kingkongtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa ni kupasha kiporo...

    nisiwe mnafiki huu uzi unafundisha ndio ila siwez kuusubscribe
  5. kingkongtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa ni kupasha kiporo...

    unachart chart halafu ghafla unaingia jf unakutana na waraka, mambo yanachanganya.
  6. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Note 20 Ultra 5G

    shukran mkuu
  7. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Note 20 Ultra 5G

    nimeingiza imeleta hivi
  8. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Note 20 Ultra 5G

    sawa
  9. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Note 20 Ultra 5G

    wakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20. je hiyo ni copy au org.pia naomba mnifafanulie nawezaje kuigundua kama ni org au feki, NB:nimewah kaaa nayo...
  10. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maneno haya

    shukran
  11. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maneno haya

    shukran sana
  12. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania KISWELE COACH (Dar-Songea)!

    hahaa umenikumbusha mkoa wa kigoma neno kiswele kwa kiha ni kit*mbe
  13. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    au nani aliwahi kutumia hiki chuma nawaza nije niagize mwez ujao
  14. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    wakuu kuna zile radio cassette za zaman zimeandikwa SONY WATT300 (kama sikosei) kwa nyuma zilikuw zinakaa battery za tiger 16 hakuna mahali naweza kuipata maana mziki wa mule nlikuw naukubal kinyama niliuelewa sana ule mtambo nilichokifanya nilimdanganya mzee wangu nikamnunulia seapeano then mi...
Back
Top Bottom