Recent content by kingi mweuc

  1. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetumiwa hii sms kutoka halotel, Sijaielewa!

    Mkuu ujaelewa wapi si umeambiwa namba yako hiyo inayoishia 22 imehuishwa kikamilifu. Kuhuisha ni the same na " to make thing alive" yaweza hiyo namba ilikua inactive
  2. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu pixel 3xl haisapoti DSDS kwa huduma ya E SIM

    Habari wana JF, Nawezaje kuiset simu pixel 3xl iweze kutumia laini mbili zote ziwe active at the same time msaada tafadhali. Tayari nimeshajisajili na airtel e_sim ila shida ndio hio.
  3. kingi mweuc

    JamiiForums Tanzania Nacte wameninyima nafasi kwasababu ambayo haipo kwenye Guidebook. Niwafanyeje?

    Ulitakiwa ujue iko kigezo kabla huja apply mkuu, May be umeangalia entry requirements pekee kumbe kuna vigezo vingine ulitaliwa uvijue. Swali je wapo ambao wamemaliza kabla ya 2018 wakapata??
  4. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye hizi earphone, Nikupoze kiasi gani?

    Habari wadau, Natafuta hizi earphone za Bose nimezielewa sana, zinatoa mziki quality balaa, Tafadhali mwenye connection(Mwenyenazo aniuzie)
  5. kingi mweuc

    JamiiForums Tanzania Nash MC ana elimu gani?

  6. kingi mweuc

    JamiiForums Tanzania Nash MC ana elimu gani?

    mwenye Ngoma ya kuitwa Nalenga kichwani na Maalim ponda anitumie wakuu. Au album zake itakua njema zaidi
  7. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

    Izo camera ungezitega kwenye simu ya mkeo ili uone watu wanaomtongoza na hakwambii mbali na huyo mzee ambae hamtaki
  8. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAAD WA KUSET SHUFFLE VIDEO PLAYING

    Aaanh nimekusoma kwa hiyo hamna kisoftware cha kizushi cha kuweka kwenye flash ili ziwe zinaplay randomly
  9. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAAD WA KUSET SHUFFLE VIDEO PLAYING

    Tv yangu haina sehem ya kuset Random video playing From flash drive. Ni vipi naweza kuipata hiyo huduma.Mp3 iko poa ila Mp4 zinaplay in order(from a to z) nahitaji zipige randomly ila hio option haipo. What can i do? TV ni ya Samsung ya kawaida sio smart.
  10. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama pesa ya Mwanamke hainihusu, kampeni ya kataa ndoa ni halali sababu inakuwa utapeli

    Kipato cha mwanamke kukifanya kua cha familia kwa lazima km unavyodai itakua ngumu maana akikushtaki sidhani km utamshinda.njia nyepesi ya kuziishi principle zako ni kuoa ambae hajishughulishi na chochote(mama wa nyumbani/kuku wa kienyeji) ila sio hawa wa kuvaa mawigi na kubandika kucha ndefu...
  11. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama pesa ya Mwanamke hainihusu, kampeni ya kataa ndoa ni halali sababu inakuwa utapeli

    Hiko unachopinga ndio nature yako. Mwanamke ni wakuhudumiwa na mumewe. Mwanamke hajaumbwa kukuhudumia wewe basic needs tofauti na Sex.Ndio maana hata mahari unatoa wewe.kutaka ulelewe na mwanamke ni kuukimbia uanaume wako sasa sjui itakuaje.Inafaa usioe km hauna uwezo wa kumhudumia.kuna tofauti...
  12. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, atafanya mambo haya

    Kumjua mwanamke unaemhitaji(anaekupenda naturally) kunahitaji upeo aisee hawa viumbe wanatabia ya kuigiza ili kuipata ndoa. Atapika atafua atajidai ana heshima mpole kumbe mzushi tu.
  13. kingi mweuc

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    hahahahaa umenichekesha sana mkuu kwamba yeye ndio mjinga wa mwisho hapa duniani
  14. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My galaxy s8 msaada Tutani

    Asante mkuu
  15. kingi mweuc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My galaxy s8 msaada Tutani

    Haina hiyo setting
Back
Top Bottom