Wasalam,
Ni asilimia chache sana ya Watanzania including Mange mwenyewe aliamini kama kuna watanzania watatoka 29 Oct. Kulikua kuna kundi kubwa la vijana lilokuwa linaongezeka kila dk. Kwa trending ile kama sio serikali kuzima internet tungezungumza mengine. Kukatwa kwa internet kuliwaathiri...
Nchi ambayo mwananchi anaogopa akikosoa atatekwa, nchi ambayo wasanii wanahisi usipo nyenyekea na kusifa gavoo hutoboi , nchi ambayo mpira wa miguu umeingiliwa na siasa na kua mtaji kwa wanasiasa .. nchi ambayo kusifia ni ajira na unapata umaarufu kwa kuitwa chawa…haya mambo sio ya kushangaa...
Askari wa vyombo vyetu wanachangamoto ya jinsi ya kutuliza ghasia za raia wasiokua na silaha . Kila ghasia hata kama ni ndogo kiasi gani inaohusisha vyombo hivi na raia lazima kutokee vifo .Utasikii risasi ilipigwa juu ikampata bahati mbaya au katika harakati za kuokoa maisha yake akampiga...
Jana na leo maandamano yamechukua sura mpya vituo vya polisi vingi vimechomwa moto na sasa polisi wanaonekana kutii maagizo ya wananchi . It’s clear the end of Frelimo regime
Lengo sio baya ila kwa Level za simba na Yanga nadhani ingekua busara kuanzia hatua ya mtoano ..Azam na hasa hasa Coast kwa hatua za awali ni sahihi mana ingewapa hamasa zaidi ya kuenda hatua inayofata …simba na yanga hawahitaji tena hamna katika hatua za awali.
Tanzania ya sasa kama hauna wadhifa au watu wenye wadhifa waka kutetea you’re nothing, afande akichukuliwa mume anakodisha watu wakalawiti, waziri anatuhumiwa kukodisha watu wakaingizie mtu chupsa, mkuu wa wilaya anatuhumiwa kulawiti sasa kila mtu mwenye nafasi ya juu akiamua kufanya hivi what’s...
Habari wakuu,
Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala .
Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.