jamen ndugu zangu mi sijielewi kama ninapendwa au sipendwi ila nimechoshwa natabia hizi hapa nisaidien nifanyaje, dem wangu nikipiga cm mda naotaka mim tuongee ataki pokea eti mpaka yeye anitafute nikimuulza sababu nying xana nikiwa mkari ananitishia kuachana inafika hatua nasema basi...
daaa,kwanza pole xana kwa habari mbaya,fanya uchunguz kwanza kabla ujachukua hatua jioji moyoni mwako ukigundua nikweli ufanye nin ukitumia busala katika fikra zako na imani utapata jibu lilo sahihi siwezi kukuambia ufanye nin coz hilo jambo siyo la kawaida kwaiyo anza kupanga mwenyewe maamuz...
Hali ya siku iyo itakuwa nyingne sikama ulivyo mzoea utasikia anasingzia uchovu ohoo mara sijisikii vizuri vijisababu vitakuwa vng na avina maana yeyote na atakuwa anajishitukia kwakila jambo analo ongea kwakifup atakuwa hayupo sawa
uyo dem ulikuwa umekaa naye sikungapi katika mausiano? mpaka ushindwe kumtambua anamapengo kwamaana sirahisi mtu kutomfaham mpenz wake hasa katika maumbire ya usoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.