Trafiki agongwa na gari Morogoro

Trafiki agongwa na gari Morogoro

Kuna ile hulka ya askari kujificha, na kujitokeza gafla pindi gari inapokaribia, hasa askari wenye kipima mwendo kasi ndo wenye hulka hii, ni hatari kwa askari na dereva / gari inayoviziwa.. Yawezakuwa huyu amegongwa kwa hulka hiyo. Nashauri waache tabia hiyo.
 
Why? why? Nauliza why? Jamani mara mbili? why? Hapo kuna jambo. Ama inawezekana anaposimamisha magari anaganda katikati ya barabara hata gari ikifika karibu hatoki. Je, amepona?
 
Hiyo kwenye kola ya shati mbona kama tomato sosi ya bongo movies?
pole mtumishi wa umma kama ni kweli

attachment.php

Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.

 
matrafiki weng tamaa ya pesa inawaponza awataki kupitwa daaaaa, huruma kwake kama alkuwa kwenye haki mungu atamjaria
 
Nakumbuka kama anaitwa Mandela hivi., Anamustachi wa aina yake na makengeza hivi daaah Mwenyezi amjalie.
 

attachment.php

askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa morogoro analijulina bw crispan 'mandela' amegongwa na gari eneo la mtawala barabara inayotoka msavumu kuingia katikatika ya mji wa morogoro.hii ni mara ya pili kwa askari huyo kugongwa na gari mkoani hapa.

hajafa?
 
Basi mkuu naona umenipa za uso nimekubali kunyoosha mikono
But Covaa,huwa hatembei kwa miguu barabarani,ata akienda mahali huenda na gari hushuka na kuzungumza na kusepa,angeshagongwa angekua anatembea kwa miguu
 

attachment.php

Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.


Kwa Media Practitioners huwa Wanapenda Sana Kusikia Taarifa Za Mtu Kafa ila Kwa Hiyo tu Ya Kugongwa Kwa Huyo Trafiki na Akawa bado Mzima Siyo Issue Sana Kwao Kwani hata Paka, Mbwa na Wengineo huwa Nao Wanagongwa na Ingependeza Sana Kama Ungetuambia Kuwa Huyo Trafiki Wako Ameresti in Pisi.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom