Me ninachojua ile press ya mbowe kusema wanawatu wanawapa taarifa watu wao wakitekwa wanapelekwa wap ma majina anayo atawataja wanaowateka na ukizingatia mzee kibao alikuwa JWTZ tena nasikia kitengo cha MI apo alikuwa tayar kauza ramani ya vita
hakuna sehemu au engineering field sehemu inayosema lami inaitwa sealing course mkuu ila kuna re-seal means kuziba sehemu zenye cracks kwenye lami,lami inaitwa bitumen ila unaweza ikawa pre mix hot or cold inaitwa asphalt ambayo inachanganywa na coarse and fine aggregate kwa pamoja au surface...
me nilikuwa shabiki sana wa ali kiba ila toka siku ile nilimuona mjinga tu ata km haumutaki mtu au mmeachana kuna lugha nzuri ya kuongea kwenye media,akumbuke na mwenzie ana moyo na aibu pia
aisee ni shida nimemuita mbele ya ndugu zake kwamba hari ni ngumu nawapa week wawe wameondoka abaki anaesoma,anadai kwann abaki anaesoma me nae kuna nn basi nimemwambia waondoke wote ata walioenda kwenye nyumba kule anajiliza me nampimia
nimeingia home mda huu eti wale wawili wameenda kukaa kule kwenye nyumba yetu na yule kijana ambayo iko finishing ye hajarud nataka nimuulize nan atakuwa anawahudumia kule au pesa ninayoachwa itakuwa inagawanwa au wanataka kuchukua iyo nyumba ambayo iko kwenye finishing stage
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.