Recent content by kingdom1

  1. kingdom1

    CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

    Kuna serikali na falme zilikua na jeshi tiifu na lenye nguvu, leo hii imebaki historia!jipe moyo
  2. kingdom1

    CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

    Mpaka ihakikishe tembo wote wamekwisha sio!
  3. kingdom1

    CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

    Wewe ni ccm na mawazo yako ya kipuuz, go to hell!
  4. kingdom1

    Kikwete: Sina tatizo na uwepo wa Serikali tatu Tanzania!

    Kwaiyo kikwete anahubiri ushetani akiwa nje ya nchi sio?ila inawezekana kweli!
  5. kingdom1

    Kikwete: Sina tatizo na uwepo wa Serikali tatu Tanzania!

    Kweli Jakaya ni kicwa!dodoma kaongea vingine london kaongea tofauti! Kaazi kwelikweli!huyu ndio rais wa Tanzania!
  6. kingdom1

    Kikwete ataiacha nchi ikiwa imemeguka vipande vipande!

    Hii ndio Tanzania ya wtz!
  7. kingdom1

    Viongozi wa dini wakikemea kikundi cha UKAWA-nje kwa kujihusisha na mchakato wa Katiba mpya.

    Viongozi wa dini gani hao, mbona wanapendelea upande mmoja tu?
  8. kingdom1

    Mh. Mizengo Pinda Apinga Mawaziri kutokuwa Wabunge

    Pinda haelewi anachoongea, inasikitisha sana!
  9. kingdom1

    Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

    Be strong and of good courage. it is written! Tusimlaumu huyu ndugu; mwingine ana mawazo na plan nzuri tu za kujiajiri ila kitu Mtaji hana na pakuanzia hapaoni!ndugu yetu kwanza anahitaji kitu kinaitwa 'psychotherapy' baada ya hapo unaweza kumshauri kitu akakuelewa! Pole sana ndugu, ila usikate...
  10. kingdom1

    Maalimu Seif: Serikali mbili hazivumiliki, Zanzibar tunataka Mamlaka kamili

    Utawaambia nini hao watu wote ili wakuelewe na serikali zako mbili?
  11. kingdom1

    UKAWA - Huu ni mwamzo wa mwisho.

    Pamoja sana!
  12. kingdom1

    Maalimu Seif: Serikali mbili hazivumiliki, Zanzibar tunataka Mamlaka kamili

    Hawa ndio viongozi wanaotakiwa; sio tunaruhusu uchakachuaji wa wazi halafu tuendelee kuvumilia, haiwezekani!
  13. kingdom1

    Je, Ni Wakati Sasa wa Kukipiga Marukufu Kikundi Haramu cha "UKAWA?"

    UKAWA ishaanza kuwanyima usingizi, sio?
  14. kingdom1

    Hongera Tundu Lissu Hongera Ismail Jussa;

    Safi sana!hawa ni miongoni mwa watu tunaowahitaji Tz ili tuendelee!
  15. kingdom1

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

    ila hata raia wa tz wamelala sana; kuna nchi huu ushenzi hauvumiliki kabbisa!
Back
Top Bottom