Recent content by KingDenis

  1. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Kiti kung'ang'aniwa 2030

    🤔🤔
  2. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Natamani Kujua Kuhusu Michango ya Mahafali ,je Ni Halali kwa wahitimu Kulazimishwa kutoa Michango

    Mambo Vipi Ndugu zanguni Natamani Kujua Kuhusu Michango ya Mahafali kwa Ngazi ya Diploma au Bachelor Degree n.k je Ni Halali kwa wahitimu Kulazimishwa kutoa Michango ya mahafali na Kuwaambia kuwa wasipo toa basi litakuwa deni ambalo Litadaiwa?
  3. KingDenis

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya Mjini, wanafunzi wa Sekondari wanasoma Saa 12 Asubuhi hadi 4 Usiku, wanasoma nini muda wote huo?

    ILA Binadamu Hamna jema Je Walimu wametangaza kuwa wanataka Hela? Je unadhani walimu hao Hawahitaji Kupumzika na Familia zao?
  4. KingDenis

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mama na Walimu wanaharibu afya ya akili ya Mwanafunzi wa Kidato cha 4 Shule ya Kimbiji Secondary School

    KABLA YA KUFIKISHA HILI SUALA HUKU MAHAKAMA YA RUFAA, Mmefanya Jitihada gani za Awali katika Kubaini Changamoto zilizopo mbaka hali inafikia kiwango hiki
  5. KingDenis

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna malalamiko kuwa Mtendaji Sengerema anataka Wanafunzi wanaotaka kujisajili NaPA walipe fedha

    Umetoa Kiasi Gani kwa Ajili ya Kuipata hiyo NaPa
  6. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

    KAZI KWELI KWELI LAKINI KILA KITU KINA MWISHO
  7. KingDenis

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga Newala (Septemba 2025) hawajapewa vyeti mpaka leo na wahusika hawatoi maelezo ya kutosha

    Poleni kwa changamoto, vipi mmewahi wasilisha hiyo changamoto NACTVET
  8. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Huenda kuchelewa kwako kuoa au kuolewa ndiko kunachelewesha kuyafikia mafanikio ya ndoto za maisha yako

    HAKIKA SOMETIMES KUOA MAPEMA NI TATIZO KUBWA
  9. KingDenis

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi NANJANGA haina nyumba ya mwalimu

    kwani hakuna nyumba za kupanga?
  10. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Njoo unibake mimi
  11. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    The same situation naipitia ndoa ina miezi miwili lakini daah Hali si poa Naona kununa na Migogoro haiishi
  12. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    The same situation to me
  13. KingDenis

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape kuwa wakala wa DSTV sijapenda

    Watanzania bhana
Back
Top Bottom