kuna familia moja ilivamiwa na majambazi,kabla ya kuiba hayo majambazi yakapanga kuwaua wote, ila kabla ya kuwaua majambazi hayo yaliamua kuwauliza majina yao kwanza.
Jambazi:we mwanamke unaitwa nani?
Mwanamke:mimi naitwa elizabeth
Jambazi:wewe umesalimika maana jina lako ni kama la mama...