Recent content by Kingambe

  1. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wanavipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (08)

    Baada ya miaka kadhaa kupita akaandaa ubunifu wake unaoitwa, Ushahidi unaotokana na pesa zilizotolewa katika mashine za ATM. Huu ni mfumo ambao ungewekwa katika mifumo ya ATM zote nchini. Kupitia mfumo huu katika mashine za ATM, kutakuwa na utaratibu wa kuwekarekodi ya namba za noti zote...
  2. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wana vipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (07)

    Taarifa hizo ni kama ajali, mwendokasi wa chombo cha moto na kadhalika. Hii itasaidia sana watu katika kufuatilia usalama wao. Pia endapo programu hii itawezeshwa kwa gprs, zitawekwa sehemu muhimu katika barabara kubwa ili kuwaelekeza wateja sehemu rasmi za kuvuka barabara (zebra crossing). Pia...
  3. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wanavipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao (06)

    Utatuzi wao wa hili tatizo ni kuwatumia wananchi sms za kutoa taarifa za utapeli. Binafsi nimechoka kutuma hizo taarifa ambazo hazina mrejesho wowote. Ila bwana Kingambe, anaubunifu wake ambao ni kiboko ya matapeli yaani badala ya wananchi kuogopa matapeli, kwa mfumo wa bwana Kingambe, matapeli...
  4. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wanavipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (05)

    Ikiwa vocha imenunuliwa katika mtandao uleule na ikatumika ndani ya mtandao uleule faida yote na cash ile iliyolipwa wakati wa kununua ile vocha itakuwa ni haki ya mtandao ule iliyowekwa ile vocha. Pia endapo vocha imenunuliwa katika mtandao mwingine na kutumika katika mtandao mwingine. Cash...
  5. K

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Makala nzuri sana, ila CHANGAMOTO tz vipaji havithaminiwi
  6. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wana vipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (04)

    Bado hakuchoka, bwana Kingambe aliendelea kupambana katika kutafuta maisha. Hakusahau kuhusu mambo ya ubunifu. Akaja na jambo la ajabu zaidi la vocha zenye tarakimu 4. Hili aliliwaza baada ya kuona tarakimu za vocha ni nyingi sana kwa mteja, pia ni rahisi sana kukosea. Katika mfumo wa vocha...
  7. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wanavipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (03)

    Wazo hili lilimjia bwana Kingambe pale alipoona wizi mwingi unatokea pale ambapo, watu wa karibu wanapofahamu namba za siri za ndugu au rafiki zao. Mfumo huu pia, unaondoa hatari ya mwenye pesa ambayo hana matumizinayo kwa wakati huo, ahifadhi pesa zake katika vocha atakayopewa benki au katika...
  8. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wana vipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao - (02)

    Kuna bunifu mbalimbali ambazo aliziandaa kabla hata ya kufeli chuo. Hizi zilikuwa ni programu katika kompyuta ambazo aliziandaa katika programu iitwayo MATLAB. Programu hizo ni daftari la mahudhurio (school attendance), sign win (weka saini ushinde), programu ya kufanya maswali ya hesabu ya...
  9. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wana vipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao (01)

    Baada ya kufeli chuo kikuu akiwa amebakisha mwaka mmoja, kwa kukosa ada, bwana Juma Ramadhani Kingambe akarudi nyumbani na hakuwa mtu mwenye kukata tamaa bali alikubaliana na kile kilichomkuta na kupambana ili maisha yaende. Alirudi kwao Dar es Salaam akitokea Dodoma alipokuwa anasoma. Ila...
Back
Top Bottom