Kuna Dem lilinipiga tukio sitasahau. Hiyo siku ilinibadilisha sana kwenye ulimwengu wa kubetuana.😁😁😁😁
Kuna dem nililipata (usiulize nililipataje). Nikalipanga,likasema kama vip ibuka nilipo, "uko wapi?" Kijiwe samri. Mimi huyooo, asubuhi asubuhi tu,ngoma 4+, siku ndo inaanza. Sijaingiza hata...
Unaongea nadharia zenye fallacies kibao. Ukiambiwa umeongea pumba,badala ya kuthibitisha sio pumba ni mchele, unaleta pumba zingine tena.
Unaweza kueleza vizuri tu nadharia yako watu wakaelewa bila dharau na dhihaka. Ila kwa kuwa huwezi,sishangai kujibu ujinga uliojibu.
Hizo positive attitude na growth mindset unazipimaje! Au kwa kufeli na kufanikiwa?
Mimi nadhani ifike pahara muwe mnamtetea huyo mungu bila kutengeneza assumptions. Au kama hamuwezi bora mkae kimya.
Damu ya chale haina kazi yoyote nje ya kutafuta channel za kupeleka dawa mwilini.
Ni unachanjwa chale,unapakwa dawa na biashara inaishia hapo. Na dawa unayopakwa ni kwa ajili ya kinga tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.