Recent content by King55

  1. King55

    JamiiForums Tanzania TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Chanjo zimerudi kwa kasi kama hazina akili nzuri, hatujatulia mchele wenye virutubisho nao huo so kupanga ni kuchagua ila kiuhalisia tunajiangamiza sisi wenye kwa kuendekeza umasikini, suala la watoto kula vyakula vyenye virutubisho ni suala la elimu zaidi sio la kimsaada halafu kesho tuje...
  2. King55

    JamiiForums Tanzania TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Endelea kushangaa mkuu, utakuja kushtuka hauna uhuru..
  3. King55

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Wanajifanya wanamtanguliza Kigwa ila kiuhalisia wanatupanga na vile wanajua kucheza na akili zetu
  4. King55

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aonya wanaohamasisha ushoga kupitia WhatsApp

    Ukiwa unatafuta nyoka gizani anzia miguuni mwako
  5. King55

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aonya wanaohamasisha ushoga kupitia WhatsApp

    Hapa tunasahaulishwa kuhusu TOZO
  6. King55

    JamiiForums Tanzania Unapaswa ujue haya mapema kuhusu Binadamu

    Mjini hakuna wanyama ila binadamu tu ndo Simba
  7. King55

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Usigeneralize mzee, walioingia kichwa kichwa hilo ni wao ila binafsi nilikataa tangu mwanzo kwamba tutakuja kulia na ndicho kilichotokea watu walikuwa na expections kubwa tofauti na uhalisia
  8. King55

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Zambia ahojiwa tuhuma za rushwa

    What goes around comes around, Rungu alimnyanyasa sana Raisi wa sasa wa Zambia.
  9. King55

    JamiiForums Tanzania Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

    Na hizi kesi za mabodaboda kuwagonga wafanya mazoezi kwa mageti ni nyingi sana
  10. King55

    JamiiForums Tanzania Je, unasumbuliwa na Kisukari na unapenda kujitibu mwenyewe kwa lishe? Majibu haya hapa...

    Wewe unapenda dawa tamu? 😅
  11. King55

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

    Hatari sana
  12. King55

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

    Duuh! Sababu haieleweki au watu wanaua for funny
  13. King55

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu apiga marufuku kulazimisha watu kuchanja, Watanzania waliochanja wamefika milioni 8.5

    Ni nchi zote pesa ya covid wamejengea madarasa? Au unatumia mfano Tanzania kugenaralize?
Back
Top Bottom