Recent content by King0188

  1. K

    JamiiForums Tunashirikiana kila kitu lakini hataki kufanya mapenzi

    Kiswahili ni kigumu na pia kirahisi inategemea maana ya neno unalienable kwa wakati gani na sehemu gani
  2. K

    JamiiForums Tunashirikiana kila kitu lakini hataki kufanya mapenzi

    Habari wadau, Nina urafiki na binti mmoja yapata mda sasa na tunashirikiana vitu vyote vya kimapenzi lakini inapofikia swala la kufanya mapenzi anaruka hatari. Nilishaamua mpaka kutembea na rafiki yake na yeye akachukia na baadae akaniambia amenisamehe. Ila Tabia yake ni ile ile ile, nimfanyaje?
  3. K

    JamiiForums Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Jeshi. Haliajiri linaandikisha
  4. K

    JamiiForums Mkurugenzi Misungwi amdhalilisha mwalimu mbele ya wanafunzi wake

    Hizi ni wazi Chuki binafsi zipo wazi kabisa maana toka alipoanzwa kuulizwa huyo mtu kakufanyia nini au maamuzi gani ametoa hamna jibu looted elekezi.pia ikiwezekana hata wewe unafanya kazi ndani na si mwisho mzuri lakini Kama she must ya maandalizi ya chakula si safi hautokuwa comfortable kula...
Back
Top Bottom