Recent content by KIng TAY

  1. K

    Dr Slaa na Kuhalalisha Gongo: Kwanini Yupo Sahihi

    Miongoni mwa jitihada kubwa zaid zinazofanywa na asasi mbalimbali za kiafya ni upigaji vita wa matumizi ya vilevi hasa unywaji pombe na uvutaji sigara. Tafiti mbalimbali znaonesha madhara mengi yanayosababishwa na ulevi kuanzia ngazi ya familia, jamii mpaka Taifa. Ulevi umeleta madhara makubwa...
  2. K

    Mmarekani huyu amenishangaza.

    Hyo ni kawaida tuuu, unaweza kutumia earphones zako ambazo ni wireless kupokea simu..Ila inabid usiwe mbali na simu yako coz network coverage yake ni ndogo..
  3. K

    Angalia hii na ujiulize bajeti ya mwenge huwa inaenda wapi?

    Ni kwa muda mrefu tangu tupate uhuru mwenge umekuwa ukikipinzwa huku kauli mbiu yake ya awali ikiwa KULETA NURU NA MWANGA PALIPOKUWA NA KAZI.Hii ikimaanisha mwenge ulikuwa na kazi ya kichagiza uwajibikaji wa pamoja kati ya serikali na wananchi ktk kuleta maendeleo.Kadri sku znavyoenda, thamani...
  4. K

    Bravo JK: Jin Ping and Obama in Dar , all done in one stride!!

    Nadhani mleta mada umeileta kiushabiki sana mada yako iliyokosa uchambuzi yakinifu..Unauliza kwann hakwenda Congo au Nigeria wakati unafahamu ukosefu wa amani na uimara wa serikali ktk nchi hzo mbili..Unahtaji akainvest huko wakati wanajua watapata hasara ilhali kuna Tanzania ambayo ina amani na...
  5. K

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Sidhani kama Mandela anastahili sana sifa anazopewa na jitihada alizofanya juu ya ukombozi wa bata la Africa..Ni wiki chache zmepita ilipotelewa taarifa inayoonesha Mugabe akimponda Mandela kwamba he was too soft to whites kiasi ambacho mpaka hao weupe wachache wakimiliki njia kuu za kiuchumi...
  6. K

    Bunge lamtelekeza mbunge wa CHADEMA AMBAYE NI MGOJWA SANA.

    Pole sana dada wa Lisu kwa kuumwa, Mungu akujalie upate matibabu mazuri na upone..Inasikitisha sana kama bado hatujawa na mawazo ya kuziboresha hospitali zetu hasa kubwa kwa kuanzia naMUHIMBILI.Asilimia kubwa ya magonjwa tunayougua huweza kutibiwa Muhimbili bila shaka yoyote, kama waliweza...
  7. K

    Godbless Lema atoa Tamko Kali - Mkuu wa Mkoa wa Arusha Atishia kumbambikizia kesi

    Lema, unadai alipofika mkuu wa mkoa alituma polisi akuite ili mfikie msimamo wa pamoja ..NI MSIMAMO GANI HUO WA PAMOJA AMBAO NYINYI WANASIASA MLITAKA KUAFIKIANA? Kuwa muwazi na uweke kila ktu mezani, jibu kwa facts watu tuelewe badala ya kutumia mda mwng kujitetea japo ni haki yako ya kikatiba..
  8. K

    Godbless Lema atoa Tamko Kali - Mkuu wa Mkoa wa Arusha Atishia kumbambikizia kesi

    Lema unachosema kinabeba sura mbili, ya kwanza unadai kuwa ulipita hapo chuoni ukaona fujo zmetokea ndo ukaenda wakat kuna ripoti znasema kuwa ulipigiwa simu na wanafunzi ukiwa nyumban ndo ukaja..UKWELI NI UPI HAPO? Sura ya pili, umesema mkuu wa mkoa alionyesha jeuri na dharau kwa wanafunz km...
  9. K

    OMBI kwa Wabunge Kuhusu Mgogoro wa Loliondo

    Hivi mbali na OBC kupigiwa kelele huko loliondo na jamii za kitaifa na kmataifa,hakuna kampuni zingine za uwekezaji ambazo nazo zna nia kama ya OBC kuchukua eneo huko loliondo?Na kama hzo kampuni zpo mbona hazitajwi,zna tija yoyote kwa mtanzania wa loliondo?
  10. K

    Wenje na Baraza la Mawaziri la CHADEMA 2015...

    Hahaaaaa inafurahisha sana kwa akili nyepesi kama za Wenje eti kuweza kutawala vichwa vya watanzania..Safu ya uongozi CDM baada ya kuchukua nchi ndotoni mwaka 2015;Slaa raisi, vp amefikiria kuhusu mtu atakayegombea uraisi kuptia chama chao au ndo washapanga hvyo?Huko ni kubana...
  11. K

    Uko wapi uzalendo wa vyama vingine vya upinzani mbali na CHADEMA?

    Nadhani CDM ilikataa kuungana na vyama confine vya upinzani bungeni hasa CUF tofauti na bunge la 9 ambalo Hamad Rashid alikuwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni..Hvyo CDM itaendelea kusimama yenyewe bungeni na vyama vngne vya upinzani vtasimamia kutatua shida za wananchi badala ya kupiga porojo...
  12. K

    Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

    Inabidi ukata tamaa hasa kama ulikuwa unategemea mafanikio makubwa ndani ya CDM..Katibu mkuu haishi kulalama kuwa USALAMA WA TAIFA wanamfuatilia huku akisahau kwamba alishatuambia nyaraka anazotoa huwa anapewa na hao hao watu wa usalama..UZEE UNA MATATIZO SANA HASA UNAPOFIKIA HATUA YA KUSAHAU...
  13. K

    Dr. Slaa acha kutuma nyaraka mikoani anza kutekeleza ahadi ya waraka wa kwanza

    Ili kuweza kujitofautisha na utawala wa kifedhuli unaotawala Tanzania ni lazma CDM ihakikishe inatekeleza ahadi zake ipasavyo..Ctegemei chama knachopambana kuchukua dola nacho knafanya yale yale yanayofanywa na chama tawala..BRAVO MTOA HOJA.
Back
Top Bottom