Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Bunge la awamu ya pili ya Jk limegeuka kuwa ni mapambano ya vyama viwili bungeni CCM kama chama tawala kikiwa upande wa serikali na CHADEMA Kama chama pekee pinzani.
Sasa najiuliza hivi bungeni hakuna vyama vingine vya upinzani? Na je NCCR,CUF,TLP na UDP wanaridhika na yanayoendelea bungeni? Kama wanayaona wanakaa kimya nini mustakabali wa vyama vyao mbele ya uso wa watanzania wapenda haki?
Nawasilisha....