Recent content by King Son

  1. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimeambiwa na Mungu

    Tunahitaji watu makini kama hawa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

    Lipumba na hofu juu ya kile anacho simamia
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Maalim hamuonei aibu Lipumba?

    Lipu ni kirusi cuf
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe: Wamarekani wanatulazimisha tukubaliane na ushoga

    Ugoro huo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Gwiji wa Sheria na Katiba, Prof. Issa Shivji, Agoma Kuzungumzia Dhana ya Udikiteta/Uvunjifu Katiba!

    Wasomi wa leo wanaweka elimu zao mfukoni kisa tuu kuogopa kuguswa, kweli itakuweka huru daima.
  6. K

    JamiiForums Tanzania ACT, CHADEMA wajitosa ugomvi wa CUF

    Kitira ni prof au rofap,
  7. K

    JamiiForums Tanzania CUF: Msajili wa Vyama hana Mamlaka kutoa ushauri, msimamo au mwongozo kwa vyama vya siasa

    Msajili wa vyama vya siasa unafanya kazi nzuri ya kuweka mafuta ya petroli karibu na moto lakini kumbuka dhamana uliyo nayo ipo inapita, kheri jitunzie afya ya heshima kwa taifa lako kuliko unako lipeleka Taifa wewe kama msajili wa vyama vya kisiasa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya CHADEMA kuhusu yaliyojiri kati yao na Viongozi wa Dini

    Natumaini ukweli utajulikana juu ya sakata hili, ila mhimu itambulike kuwa hakuna Mtanzania ambaye atakubali katiba ya nchi iendee kuchezewa, kumbukeni kauli ya Nyerere aliwahi sema,'Ipo siku watu wakichoka watachagua kifo kuliko fedheha ndani ya taifa lao.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atua Arusha, Mgeja alaani polisi Kagera

    According to the Philosopher among of the ironhood is a porice, Wanaamini hawa watu wanatumia nguvu zaidi kuliko akili. Nchii hii inafuata mfumo wa vyama vingi rais atambue hilo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

    Ngoma itapasuka tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Raha ya mapinduzi ufanikiwe. Nini hatma ya Mtatiro, Seif na wengine!

    Mnachekelea na kufurahishwa na petroli kuwa karibu na moto, ni hatari kwa ustawi wa demokrasia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi tumemkosea Mungu nini Watanzania?

    Prof njaa, anawaza kuwa mwenyekiti tu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    Hatari sana kwa nchi yetu , Bi Kirembe kaguswa, nyeupe nyeusi na nyeusi nyeupe.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

    Anaogopa kivuli cha JPM, naona zile katuni zilimuudhi sana mkuu wake na kapewa wizara kwa shingo upande.
Back
Top Bottom