Raha ya mapinduzi ufanikiwe. Nini hatma ya Mtatiro, Seif na wengine!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Mara zote msajili wa vyama vya siasa ndiye amekuwa muamuzi wa kukubali ama kubatilisha mapinduzi ya uongozi ndani ya vyama vya siasa.

Kwa historia tokea vyama vingi vianze kama sikosei ofisi ya msajili imeongozwa na majaji wa tatu;Wa kwanza marehemu Jaji Liundi,pili Jaji John Tendwa na sasa Jaji Mutungi.Kwa historia kidogo ofisi ya msajili imeshawahi kubariki kupinduliwa/kuondolewa wafuatao;

1.Augustine Mrema aliwashinda akina Marando,Lissu,Baregu na wengine ndani ya NCCR Mageuzi...hivyo ikawapasa kutafuta mlango wa kutokea baada ya mbinu zao kushindwa.

2.Mrema tena akiwa TLP aliwapindua waliotaka kumuondoa kwenye uenyekiti.

3.Mapalala alipinduliwa na akina Maalim Seif Cuf na ofisi ya msajili ikabariki.

4.Hamad Rashid aligongwa nyundo CUF na kuvuliwa umakamu mwenyekiti na uanachama.

5.Mbatia naye kabakizwa ofisini na uenyekiti Taifa NCCR Mageuzi na msajili dhidi ya mapinduzi yaliyoshindwa chini ya wasaidizi wake.

6.Kwa sasa Lipumba kashinda rufaa kwa msajili dhidi ya CUF.Kinachofurahisha ni kuwa wafuasi wengi wa CUF bara wamekuwa wakimuunga mkono dhidi ya Seif.

Raha ya mapinduzi ni ushindi....siioni nafasi ya Mtatiro kwa sasa ndani ya CUF na kuna siku nilionya kuwa anatumika kama "taulo",hasa ukizingatia hana wafuasi wanaomuunga mkono bara.Maalim Seif na wenzake zanzibar wanakazi kubwa kwani bosi wao sasa karudi na kimsingi Lipumba sasa atakuwa mwenyekiti haswa Natalie's chini ya Seif...atataka Seif amtii hapa patam ngoja tuweke akiba ya maneno.
 
--Pale chaguo la wengi linapovurugwa ili pandikizi liweze kufaulu kuingizwa likavuruge TENA./
NILIKUWA MWANA-CUF MTIIFU KUANZIA LEO HII NINAJITOA/ KUJIVUA UANACHAMA RASMI.
•MAAMUZI YA TULIOKUWA WENGI HAYAWEZI KUVURUGWA KWA JINSIA HII./
 
Mara zote msajili wa vyama vya siasa ndiye amekuwa muamuzi wa kukubali ama kubatilisha mapinduzi ya uongozi ndani ya vyama vya siasa.

Kwa historia tokea vyama vingi vianze kama sikosei ofisi ya msajili imeongozwa na majaji wa tatu;Wa kwanza marehemu Jaji Liundi,pili Jaji John Tendwa na sasa Jaji Mutungi.Kwa historia kidogo ofisi ya msajili imeshawahi kubariki kupinduliwa/kuondolewa wafuatao;

1.Augustine Mrema aliwashinda akina Marando,Lissu,Baregu na wengine ndani ya NCCR Mageuzi...hivyo ikawapasa kutafuta mlango wa kutokea baada ya mbinu zao kushindwa.

2.Mrema tena akiwa TLP aliwapindua waliotaka kumuondoa kwenye uenyekiti.

3.Mapalala alipinduliwa na akina Maalim Seif Cuf na ofisi ya msajili ikabariki.

4.Hamad Rashid aligongwa nyundo CUF na kuvuliwa umakamu mwenyekiti na uanachama.

5.Mbatia naye kabakizwa ofisini na uenyekiti Taifa NCCR Mageuzi na msajili dhidi ya mapinduzi yaliyoshindwa chini ya wasaidizi wake.

6.Kwa sasa Lipumba kashinda rufaa kwa msajili dhidi ya CUF.Kinachofurahisha ni kuwa wafuasi wengi wa CUF bara wamekuwa wakimuunga mkono dhidi ya Seif.

Raha ya mapinduzi ni ushindi....siioni nafasi ya Mtatiro kwa sasa ndani ya CUF na kuna siku nilionya kuwa anatumika kama "taulo",hasa ukizingatia hana wafuasi wanaomuunga mkono bara.Maalim Seif na wenzake zanzibar wanakazi kubwa kwani bosi wao sasa karudi na kimsingi Lipumba sasa atakuwa mwenyekiti haswa Natalie's chini ya Seif...atataka Seif amtii hapa patam ngoja tuweke akiba ya maneno.
Wewe ni ccm, kurudi Kwa Lipumba cuf kunakupatia faida gani na chama chako, ndo uone jinsi unafiki wa kumtumia Lipumba kama mamluki wa kuua cuf unavyowaumbua, hata Kwa damu, Lipumba hatarudi cuf.
Subiri utaona.
 
Mara zote msajili wa vyama vya siasa ndiye amekuwa muamuzi wa kukubali ama kubatilisha mapinduzi ya uongozi ndani ya vyama vya siasa.

Kwa historia tokea vyama vingi vianze kama sikosei ofisi ya msajili imeongozwa na majaji wa tatu;Wa kwanza marehemu Jaji Liundi,pili Jaji John Tendwa na sasa Jaji Mutungi.Kwa historia kidogo ofisi ya msajili imeshawahi kubariki kupinduliwa/kuondolewa wafuatao;

1.Augustine Mrema aliwashinda akina Marando,Lissu,Baregu na wengine ndani ya NCCR Mageuzi...hivyo ikawapasa kutafuta mlango wa kutokea baada ya mbinu zao kushindwa.

2.Mrema tena akiwa TLP aliwapindua waliotaka kumuondoa kwenye uenyekiti.

3.Mapalala alipinduliwa na akina Maalim Seif Cuf na ofisi ya msajili ikabariki.

4.Hamad Rashid aligongwa nyundo CUF na kuvuliwa umakamu mwenyekiti na uanachama.

5.Mbatia naye kabakizwa ofisini na uenyekiti Taifa NCCR Mageuzi na msajili dhidi ya mapinduzi yaliyoshindwa chini ya wasaidizi wake.

6.Kwa sasa Lipumba kashinda rufaa kwa msajili dhidi ya CUF.Kinachofurahisha ni kuwa wafuasi wengi wa CUF bara wamekuwa wakimuunga mkono dhidi ya Seif.

Raha ya mapinduzi ni ushindi....siioni nafasi ya Mtatiro kwa sasa ndani ya CUF na kuna siku nilionya kuwa anatumika kama "taulo",hasa ukizingatia hana wafuasi wanaomuunga mkono bara.Maalim Seif na wenzake zanzibar wanakazi kubwa kwani bosi wao sasa karudi na kimsingi Lipumba sasa atakuwa mwenyekiti haswa Natalie's chini ya Seif...atataka Seif amtii hapa patam ngoja tuweke akiba ya maneno.
Cuf mmeisha....lipumbaccm.
 
The end of Maalim Seif is next door. Sijui kama na hili ataenda kushitaki mahakama ya kimataifa.
 
--WANA CUF / TUMEKWISHA KIFO CHA KI-WIMA WINA./ CUF IS DEAD BY 100%,/ ITS A NONSENSE KUFAHAMU TATIZO,UKAJIPUMBAZA NA KUONA ITS FINE AND OK!/ "UZUZU"
 
Ccm wanauwa ajenda ya udikteta,
Wanaweka maandalizi ya katiba mpya
Escrow inapoozwa
 
Back
Top Bottom