Mtumbatu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 363
- 171
Ni katiba sio SEIF,Hivi umesahau kwamba LIPUMBA alijiuzulu?
Huo sasa ni uchochezi usishangae ukijikuta unaamkia Kisutu
Ni katiba sio SEIF,Hivi umesahau kwamba LIPUMBA alijiuzulu?
Ni tanganyika 2Hebu tupe reference kitu kama hiki duniani kimewahi kutokea wapi??
wewe jamaa unaakili sana. wengi hawafikirii hilo. hizo ndo siasa. leo marafiki wa kutupwa kesho maadui wa kutupwa.Mbona kikwete hakumuonea aibu lowassa akamkata