Recent content by king R

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    upo ukijichanganya imo,,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Hii ishu ya ukimwi isikie tu kwa mwenzio, wakati fulani nilikuwa mkoani kikazi nikaanzisha uhusiano na bint mmoja ambaye alikuwa mwenyeji katika mkoa huo, nilidumu nae kwa takribani miaka miwili nikaja kutonywa na mama mmoja mama ntilie kwamba huyo demu ameathirika, alinistua moyo kiukweli...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

    Paskali umejishusha hadhi sana, nilikuwa nakukubali sana,, kweli njaa mbaya.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete na msafara mkubwa

    Kikwete ana gari tatu na pikipiki moja ya trafiki, Nissan patrol v8, Land cruiser mbili V8, Tusibishane naongea kama jirani.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu niliowahi kuwasikia Tanzania

    Prof muongo hana mpinzani katika kada take
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya asili ya nazi au mzeituni

    Nichek Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania TBC: Kongamano la watanzania waishio Marekani. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi mgeni rasmi

    Magamba anajikanyakanyaga kwenye issue ya lisu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    hii story imekopiwa jamaa atafute story Zake.
  9. K

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la UDA laigonga treni eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

    wakuu hiyo ajali noma we sikia tu, nilikuwepo eneo la tukio . Rip the lost souls.
  10. K

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la UDA laigonga treni eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

    Wakuu hiyo ajali ni noma, nilikuwepo eneo la tukio. Rip the lost souls.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr Alex, Msaidizi wa Zitto Apigwa na Kujeruhiwa Vibaya Tegeta!

    ya siasa waachie wanasiasa
  12. K

    JamiiForums Tanzania msaada please.

    Naomba msaada jinsi ya kuondoa application ya gmail kwenye samsung s 1.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii?

    Imekaaje kwa mtoto wa kiume kusoma kozi ya sekretari, maana juzi nilipita magogoni nikakuta nwanaume anasoma kozi ya sekretari.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo na dharau kwa wawekezaji wazalendo

    Sometimes being a professor is jst a word not anymore
Back
Top Bottom