Mafuta ya asili ya nazi au mzeituni

Mafuta ya asili ya nazi au mzeituni

Minara si mafuta bora atengeneze au akanunue kwenye maduka ya asili au ya vyakula yalioandikwa extra virgin
Bonzo,
Unarukia maneno Tu wewe hujui unafanya nini humu JF.
Mdau alipouliza mafuta ya Nazi na mzeituni na yuko shinyanga ukamuuliza eti Shinyanga kuna nazi?
Vitu msivyojua mnarukia vya nini?
 
Umesikia huko Daraja LA kijiji cha nyanza,linalounganisha Mwakisandu na Lubiga limekatika....mwanhuzi hiyo,
Sasa Huku Iponanabholo-Mwandoya,Igobe,Tindabuligi,sakasaka,butuli,Longaloniga,lingeka,Mwabusalu,mwakaluba,mwabuma mwaukoli....nipo maeneo hayo Mkuu!
Muda Fulani nilikuwa natembelea maeneo ya kuja huko kwako nikitokea,Mwamanimba,nikavuka MTO mwamanongu,nikaingia Mwamatiga,mwamanoni,mwamalasa,mwamashele,Nikapita kidogo Ngofila kulikuwa na ka Mnada pale,nikaenda pale kanawa Secondary ukenyenge,nikarudi kupumzika Kwa jamaa yangu pale John Itta wa Mwandu Ikigijo[emoji115] [emoji1] [emoji1] [emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duuuh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minara si mafuta bora atengeneze au akanunue kwenye maduka ya asili au ya vyakula yalioandikwa extra virgin
Minara ndo habari ya mjini naona....au sababu Bei chee?!
 
Back
Top Bottom