Chama kikishinda ushindi wa majority ndicho huunda serikali, vyombo vya ulinzi na usalama ni kama kamati za serikali, sasa unashangaa nini ccm iliyounda serikali kusema vyombo vya ulinzi vipo chini yake?
Siku chadema na nyie mkishinda uchaguzi mtaunda serikali na vyombo vya ulinzi vitakuwa chini...
Kilicholetwa mahakamani sio bank statement ya Heche ni pay in slip za salman aliyefanya deposit kwenye akaunti ya Heche
Nsekela na crdb kwa ujumla hizi lawama mnawatwisha mzigo sio wa kwao, lawama apewe salman.
Kachero mbobevu(membe) alipata kusema vijana wa chadema(bavicha) wana njaa kali balaa ukiwanunulia wali maharage wanakupa siri zote za sebuleni na chumbani. Hawa akina lema na heche ni bavicha wastaafu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.