Recent content by King Nathan

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

    Nimeshaachana nao halafu sasa kigezo chao cha kuachana nao ni vile wanahisi labda naweza nisiwaoe au kuwapotezea muda kwani wote hao wanne wamenipita umri sawa wa miaka mitatu, so wanaona watakuja kuchoka then ntakula Kona kwani wanaume hatuzeeki haraka, hivyo nikishagundua hilo napiga chini...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

    Binafsi hii imeshawahi nitokea Ila kwa upande wa mahusiano, Ma Ex wangu takribani wanne wote wamezaliwa tarehe moja na mwaka huo huo mmoja mpaka huwa nikikaa naona kama muujiza hivi lakini ndio ishatokea hivyo.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Uzi wako umenifurahisha sana ndugu, nakushauri soma kitabu cha Alpha male utakuja kunishukuru
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Musiba anafanya sherehe huko saa hizi maana alikuwa amekaliwa kooni na hela hana
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Apumzike kwa amani Jasusi 🙏
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Marekani ila sina ndugu wala yeyote ninayemjua

    😂😂😂😂😂 Mpwayungu bhana
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yaliyopita yameniathiri sana

    Acha kuchukulia mambo ya wenzio simple simple
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yaliyopita yameniathiri sana

    Ulitaka simulizi iwe na skeleton tu 😀 kutia nyama muhimu 😀😀
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yaliyopita yameniathiri sana

    😀😀😀🚩
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yaliyopita yameniathiri sana

    Deepond shukrani kwa ushauri kaka
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui

    Maisha yetu ni cycle aisee
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    Yan uzi huu kichwa cha habari tu kinahamasisha badala ya kutatua kero
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Nadhani nimeeleweka [emoji4]
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yaliyopita yameniathiri sana

    Wasalaam.... Naomba niende moja kwa moja kwenye huu uzi ndugu zangu, huku kipenga kikiwa tayari kimeshapulizwa [emoji350] Twende kazi sasaaa..... Ni mwaka sasa umepita tangu niachane na Ex wangu lakini mambo yangu hayapo sawa yaani hasa upande wa mahusiano, nilimpenda sana Ex wangu na yeye...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

    Hapo nimkupata vema mkuu The Boss
Back
Top Bottom