Naomba unisaidie angalau elfu 20 niweze kupata maji baridiPesa haina furaha ukiitumia kwenye starehe.
Ukitaka uione furaha ya fedha , wasiedie wengine.
Hapo uta-enjoy ujana wako na uzee( furaha ya moyoni , na sio ya usoni )
MUNGU hukupa ela nyingi , si kwa sababu ni zako binafsi , ila wewe unatumika kama njia tu.
IKUMBUKWE : Hakuna aliyefilisika kwa sababu ya kusaidia
Aaamin. Mimi pia nimeomba hivyoMungu anijaalie nifike umri huo🙏🏾 nione dunia kwa enzi yake. Mungu anisikie
Unaleta jokes , kwenye mambo seriousNaomba unisaidie angalau elfu 20 niweze kupata maji baridi
Hapo ndipo ujue, ugumu wa watu kutoaUnaleta jokes , kwenye mambo serious
Yani mpaka unanipangia nikupe shingapi? Kama forcingHapo ndipo ujue, ugumu wa watu kutoa
Mzee kikwete kastafu ,ulishawahi kukaa nae msikitini kupiga story ?
Tafuta pesa kijana ,hata ukiziieka Kuna kijiwe cha wazee wenye pesa na wasio na pesa ..
Mambo ya Complex....raha tu 😀Fanya mazabe kwa pose kama toto unataka
Pima fikra zao kama havipandi we kula chaka
Watu gado kama Zay B (wa visado)
Mikoko imetanda huku mabenz kule maprado
We ruka mkwanja now, here we go (here we go)
Ee bwana eh muda bado unaruhusu
Mara nyingi wenye hizo story huwa wanataka wao ndo wasaidiwe!Naomba unisaidie angalau elfu 20 niweze kupata maji baridi
hatari sanaMambo ya Complex....raha tu 😀