Najiuliza,je siku ya mwisho,wayahudi watauona ufalme WA mbingu?..
Hata kama hivyo hivyo hawamuani mungu yesu WA ukristo..
Kama laa, uteule wao ni Kwa maisha tu na fahari ya kidunia basi?..
Awaumbe hao binadamu mwenyewe,..halafu akawakombowe mwenyewe....?? ..tena Kwa viumbe alivyoumba mwenyewe.?? ..
Wenye akili wanaelewa,....acha tubaki na ushabiki unao burudisha mioyo yetu Kwa maisha ya muda mfupi.....
Kwa wakristo wanaojitambua na wenye maarifa madhubuti ya dini yako hawakubali JERUSALEM kuwa MJI mkuu Wa Taifa Kiyahudi.....
Ila wale wenye kufuata matamanio tu...
Nimekuwa nikiona mchoro wa picha ya ndala pale timu ya Dar es Salaam Youngs Africa inapoandikwa katika magezeti kama alama ya uwakilishi wa timu hiyo.
Kama mpenzi wa klabu ya Yanga na soka la Tanzania kwa ujumla nashindwa kuelewa picha ya ndala inawakilisha ujumbe gani kwa klabu hiyo.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.