Recent content by king Mniko

  1. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mimi ni kijana , nina elimu ya kidato cha 4, nina mtaji wa laki 3.napenda kuushi dodoma, naomba msaada wa fursa na wazo la biashara kwa hapo dodoma kulingana na kamtaji kangu.
  2. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    Mmmm Chadema tupunguze ubinfsi wafikra .Tatizo lililopo chadema ni lile la kulinda maslahi ya mtu.Hili pepo lutatuumiza sana.Sioni kosa la lowasa , alikuwa na haki msingi ya kutoa mawazo yake.Tuwe tunajiuliza ni demokrasia ipi huwa tunaitafuta ? Ua ya kupiga mayowe na kutoa matusi...!!!??
  3. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani naweza ongeza thamani na kupanua soko?

    Habari ndugu, mimi ni kijana mjasiriamali nipo Nzega-Tabora, nauza karoti kwa rejareja na jumla, pia nasambaza kwa wauzaji wa masoko mengine kama kahama, Igunga, Tabora mjini. Nifanyeje ili niweze kuongeza soko na dhamani. Natamani kuwafikia wafanya biashara wa Dodoma, Singida, Shinyanga na...
  4. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ikipambanishwa na wapinzani chini ya tume huru itashinda?

    Hapana hawatashinda..
  5. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Daaa mkuu kwa sasa nimechoka hadi mwili unauma si utani. Zege si mchezo
  6. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habari zenu ndugu,Nipo dodoma , nina mtaji wa laki mbili (200000) nimefanya kazi ngumu hadi kuupata ikiwa ni pamoja na kubeba zege na kuchimba mitaro. Kwa wale wajuzi wa maswala ya biashara nipeni msaada wa wazo la biashara .japo nipumzike na mimi na hizi kazi ngumu . Na mungu awabariki
  7. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Sasa Paul Makonda na Kamanda Sirro tunawapima kwa kumgusa Mtoto wa Rais na Daudi Kanyau

    Tusipo pepesa macho...tutafanikiwa.Naunga mkono hatua hii
  8. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Makonda pinga kazi.. achana na siasa za wapuuzi
  9. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kuzungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, utapenda kumwambia nini?

    Kwanza nitamwambia aweke mbele ndoto za wananchi si kuweka mbele ndoto zake. Pia nitamkubusha kuheshimu viongozi wezake na kuwa mchaguzi wa maneno ya kutumia mbele ya umma
  10. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Picha: Dunia yampinga Trump baada ya marufuku kwa Waislamu kuingia Marekani kuanza Jumamosi hii

    si suluhisho hata kidogo, trump ameshindwa kutofautisha dini na ugaidi,yeye angpambana na wale wote wanao geuza dini ya kislam kuonekana ya kigaidi
  11. king Mniko

    JamiiForums Tanzania Treni mpya(Deluxe) yapata ajali Ruvu mkoani Pwani ikitokea Kigoma

    poleni sana.....tunasubiri siasa sasa ziingizwe kwenye ajari
Back
Top Bottom