Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Baada ya uchaguzi wa udiwani ndani ya kata 22 na ccm na chadema kuchukua kata moja na ccm kuchukua kata 21 upinzani kupitia chadema wamekuwa wakilalamika na kumtupia lawama lipumba ndio chanzo cha wao kushidwa udiwani kwa kuweka wagombea ambao ukawa haiwatambui.
lakini katika uchaguzi huo huo NCCR nae iliweka wagombea wake lakini hata baada ya kushidwa hawakumtupia lawama lipumba lakini upande wa chadema wamekuwa wakimuandama lipumba.
kinachonishangaza mmoja kati ya watu wanamuandama lipumba ni mtatiro ambae hata 2015 aliposhidwa segerea tusishangae lawama atamtupia lipumba ndio kasababisha yeye ashidwe ubunge segerea.
KWA SASA TUNAELEKEA 2020 CHADEMA MUDA WOTE WAPO BIZE NA MGOGORO WA CUF.
WAKISHIDWA JAMBO UTASIKIA LIPUMBA KASABABISHAA.
SASA HAPA NDO NAJIULIZA NI KWANINI WATU KILA KITU WANAMSINGIZIA LIPUMBA