Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni kuwauliza wana JF hivi ujenzi wa hivi viwanja unaanza lini na ni( wapi?) Na vibarua inakuwaje ndugu zangu kupata hata kibarua tupambane kwa mliopo dodoma na Arusha tujuzane wadau
Famoco linauzwa bado ni zuri na linasajiri mitandao yote scanner yake inafanya kazi vizuri Bei ni tsh 80,000 ipo dar es salaam
Kama utahitaji nitafute namba 0757807878 au 0654388979 WhatsApp pia ni namba hizo hizo zote
Nahitaji kuanzisha biashara ya mishikaki maeneo ya stand naomba kujua sehem ninayoweza kuwa napata nyama na pia sehemu wanapouza vijiti na bei zake na yoyote anijuze changamoto za hii biashara.
Kwa wakazi wa Tanga kuna mganga mmoja na sikia ni mtaalam hatarii anaitwa Sekambi. Kwa yeyote anayemfahamu anipe taarifa zake na kama na mawasiliano yanaweza kupatikana anisaidie basi
Siku niliyochoma nauli hadi huko mtibwa.... Huko si wafichi ni kajela kadogo ila kamefudhu ujela....
Malipo ni 6000 kwa siku pia asubuhi unakunywa uji tu na kurudi hakuna muda maalum hadi SA Tatu usiku waweza kurudi hapo piga hesabu tangu uji uliokunywa asubuhi Na kazi ngumu shamban + plus jua...
Shule ya msingi pugu kajiungeni..
2.pugu secondary ii) kinyamwezi secondary
3.Airwing high school ii) Jitegemee CBG
4.UDOM
5. [emoji40][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.