Tangu mwanzo, wanadamu wamekuwa na ushahidi juu ya Mungu ni nani na njia Yake ya haki na upendo (Rum. 1:18-21). Kwa hivyo, wanadamu wote tangu zama zilizopita watahukumiwa kulingana na jinsi walivyoshirikiana na Mungu na jinsi walivyoishi—bila kujali ni kiasi gani walielewa au hawakuelewa (Rum...
Yesu atakaporudi, kutakuwa na kambi mbili tu za wazi: wale waliojisalimisha kwa mamlaka ya Shetani kupitia taasisi za kidini na za kisiasa: kama ilivyooneshwa katika Ufunuo 13 na 17, na wale ambao wamejisalimisha kikamilifu kwa Yesu Kristo, ambaye imani yake inadhihirishwa na kwa kushika kwao...
Mithali 22:6 (KJV) Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Watoto wameumbwa pia, hivyo walelewe katika maadili ya kumjua Mungu wao.na kama wewe ni muumini wa dini yoyote funga na kuomba mzee...
Mithali 29:4
Mfalme huithibitisha nchi kwa hukumu; Bali yeye apokeaye rushwa huipindua.
UGANDA: Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya...
Uchawi upo unatajwa hata katika BIBLE Kule misri kati ya Musa na Farao....Musa akimwakilisha Mungu Farao katika uchawi...Mfano kubadili fimbo na kuwa Nyoka nk.
Uchawi upo unatajwa hata katika BIBLE Kule misri kati ya Musa na Farao....Musa akimwakilisha Mungu Farao katika uchawi...Mfano kubadili fimbo na kuwa Nyoka nk. ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.