Recent content by king kong

  1. K

    JamiiForums Tanzania Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

    Ingekuwa lwakatare angekuwa amekamatwa long ago Polisi ya tz mwakyembe alimaliza Inasubiria ushahidi mezani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Revolutionaries never talk about death cowards do. Fitna za ccm haziwezi fanikiwa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu vs Khamis Kagasheki vs Government Policy

    Ccm hooligans speaking in tongues
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Kifo cha Mwangosi

    Hizi tume tunaundiwa ni utapeli katika sura nyingine. Hawa wana tume/kamati wakamatwe kwa kuliibia taifa. Imagne mtu umemtuma alete mwanga wa tukio halafu anakuja anasema hajapata ushahidi wala haamini kama kifo kilipangwa. For god's sake watanzania waliwatuma kuleta ukweli sio majibu ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

    Wasira kuwakana watoto wa kaka yake ni aibu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Anataka pesa tu sio mtu wa dini huyo ni mchumia tumbo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

    Haki itashinda maovu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

    Vijana serikali kama ilivyoahidi ajira jiandaeni kwenda vitani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Makinda alegea kwa Lissu kuridhia hoja ya kutokuwa na Imani Waziri Mkuu

    Yetu macho wezi wote out
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    siasa za tz ni uharo mtupu. Hakuna uhuru wa mahakama, uhuru wa raia haupo na watu wanauwawa live na wengine kukatwa mapanga tena wabunge mbele ya polisi. Lema alishapigwa na polisi mpaka kulazwa hii sio njema. Coz what goes around comes around hope ccm watakuwa wastahimilivu zali
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Ukipata nijulishe umepata ipi kwa bei gani am interested pia
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Haki za Binadamu na Utawala Bora inafanya nini wananchi wanapouawa mikononi mwa Polisi?

    cadres in public offices is ridiculous. Wanateuliwa wanalinda kazi zao on the expens of citizens lives
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

    King Kong original version nasema hawa magamba watataja tu mwaka huu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    pole kaka hawa wezi they shall pay a stiff price before God
Back
Top Bottom