Recent content by king joniva

  1. king joniva

    Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Mara ya kwanza kufika mbeya jambo lililonishangaza ni PA za msiba barabarani utadhani harusi yaani!
  2. king joniva

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hatuna chuki na Manara ila tuna mapenzi na timu yetu, sababu yoyote ile inayoleta matokeo mabaya tutaisema!!! Moja wapo ni Kauli zisizo za kimpira za msemaji wetu zinazo tumiwa na wapinzani kuwapa morali wachezaji wao kuikamia SIMBA SC!!
  3. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Fact, usemaji huu hauendani na level ya SIMBA SC ya sasa
  4. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Wenzetu usemaji umebaki kwa manager wa timu ama viongozi wa juu tu nao usemaji wao unamipaka.
  5. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Nimeona Leo pia katoa tamko la kuwa tuhum wachezaji et walicheza chini ya kiwango kasahau kuwa yeye ndiye aliye wapa overconfidence, nadhani anataka kuivuruga timu yetu kwa sasa!!
  6. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Sijakataa kwamba Manara huwa analeta upambanaji kwa wachezaji, ila hilo hutokea hasa kwenye mashindano ya CCL au tunapo cheza na timu kubwa zaidi yetu but inapokuja tuna cheza na timu za kiwango kidogo zaidi yetu au ligi ya ndani manara hutoa kebehi na kejeli zinazo sababisha wapinzani wacheze...
  7. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    #NIONAVYO MIMI: HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC. kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshimu kaka yangu Haji Manara na nina heshim mchango wake kwa klabu yetu. Wakati wa kuanzishwa kwa klabu hii 1936, timu hii imepitia...
  8. king joniva

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC. kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshim kaka yangu Haji Manara na nina heshim mchango wake kwa klabu yetu. Wakati wa kuanzishwa kwa klabu hii 1936, timu imepitia vipindi kadha wa kadha...
  9. king joniva

    The Other Half (Simulizi)

    Mkuu
  10. king joniva

    Domo Kaya: Hukumu ni Kifo

    Ngoja nitulie kwanza!!!
  11. king joniva

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hatufuti na hakuna unachoweza kutufanya
  12. king joniva

    Iringa Municipality: The Photo Gallery

    Tupicha kidogo[emoji3][emoji16]
  13. king joniva

    Mashabiki wa Plateau tumejitokeza kwa wingi airport kuipokea timu yetu

    Dah huyu binti anaonekana anajua kufinyia kwa ndani
  14. king joniva

    Simba Sc: Hatutaruhusu shabiki wa Yanga Sc kuingia uwanjani kushabikia wageni

    Kama wao walivyo chagua kuzia sisi mashabiki wa Simba sc kuangalia mechi live, basi na sisi Simba sc mabingwa wa ligi kuu tumechagua kuwazuia mashabiki wao hao plateau united!!!. Natunajua utopolo ndio wanaoteseka ila hatuna cha kuwasaidia, ndengelekiiiiiiii
Back
Top Bottom