Recent content by King 5

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    Brother mbona kimya hunitafuti Tufanye biashara!.??
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuuza asali mbichi nje ya nchi

    Nitafute Inbox Tufanye biashara!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kununua bidhaa za biashara kutoka nchi za nje?

    Habari, Kama unataka kununua bidhaa za biashara kutoka nchi za nje, kutoka Ulaya, American, Asia, Middle East countries na India, nipo hapa kukushauri na kukusaidia uweze kupata bidhaa za bei rahisi mfanyabiashara. Ambaye yupo seriously anifuate inbox.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    Nitafute mkuu naweza kukushauri kitu!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    Mkuu nimekucheki inbox,mbona kimya tuwasiliane!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    OK,nakusubiri Kiongozi!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    Mkuu nimekucheki inbox mbona kimya?, tuwasiliane Tafadhali kibiashara zaidi!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    Asante sana mkuu kwa Maelekezo mazuri!,nicheki pm tuwasiliane vizuri!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    Habari wakuu, Kuna ndugu yangu yupo nchi za nje amenitafutia wateja wa kununua matunda, naomba mwenye ujuzi anisaidie ushauri kwenye hii biashara kwenye mambo fuatayo; (1)Napenda kujua ndege za mizigo zinatoza sh.ngapi kwa uzito. (2)Namna ya kupata vifaa vya package na gharama zake hapa bongo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je una Ndoto ya kumiliki gari?,pitia hapa!

    Karibu mkuu,nikupatie gari uipendayo kwa bei nzuri!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je una Ndoto ya kumiliki gari?,pitia hapa!

    Premio new model inakwenda mpaka 14mil,lakini kama uko seriously tunaweza fanya mazungumzo WhatsApp number 0719269820,unaweza pata discount!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je una Ndoto ya kumiliki gari?,pitia hapa!

    Harrier Hybrid ya mwaka gani mkuu?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je una Ndoto ya kumiliki gari?,pitia hapa!

    Raum New modal au old modal uliza vizuri mkuu!, nikusaidie!.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je una Ndoto ya kumiliki gari?,pitia hapa!

    Habari wakuu,je una Ndoto ya kumiliki gari lako mwenyewe,kama ni ndio,karibu nikusaidie kutimiza Ndoto yako,nitakusaidia kununua gari kutoka nchi mbalimbali,kama Uk,Germany,USA,Italy,Japan etc,na hata kama unahitaji gari iliyopo Tayari hapa nchini nitakusaidia,nicheki WhatsApp number...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kijana anahitaji msaada wa kazi!

    Ahadi ni Deni natumaini utamsaidia mkuu!
Back
Top Bottom