Recent content by kinesthetic

  1. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habari mkuu, unaweza tupa mrejesho mpaka sasa.
  2. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Huu uzi upo Vizuri sana ukasoma mwanzo mpaka mwisho hukosi kitu.
  3. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Hakika nafurahi kusikia hivo mkuu, maana haya mambo yakusema Ngoja nijipange, utajikuta unachelewa tuu hakuna lolote ulilofanya
  4. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

    Sumu inaitwaje mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

    Well said mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

    Pamoja mkuu ngoja ni apply hii njia maana wamenipa hasara mpka sasa wemetafuna karibia robo ya ekari ya mahindi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

    hawa wadogo ngedere Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

    Sawa mkuu ngoja nijitahidi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

    Samahani wakuu, Nilikuwa nauliza namna gani naweza kuwazuia Nyani wale wadogo (Ngedere), wanamaliza mahindi yangu kabla hayajaanza kukomaa, yaani wanavunja vile vinavyoanza kuweka mahindi. Naombeni ushauri kuhusu kuwaondoa au kuwazuia wasiendelee kula. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kinesthetic

    JamiiForums Tanzania Hakuna majuto yanayozidi yale ya kuachwa na “sponsor” kisa kijamaa kisicho na mbele wala nyuma

    Kabisa Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom