Recent content by Kine3

  1. Kine3

    Tuwe makini na vyakula nya njiani wakati wa safari

    Kichwa cha habari kinyume na uliyoandika. PUMBAVU!!!!
  2. Kine3

    Kinana na Chongolo wamepongeza uteuzi wa Makonda mpaka sasa hadharani? Kama bado kwanini?

    Usiwe kidelenya acha chokochoko na uchonganishi wewe, kwani hujui Kinana na Chongolo kama wao pia ni wajumbe wa NEC CCM ambao pia walishiriki katika mchakato wa kumteua Makonda, sasa unataka waongee nini hadharani, huna la kuongea lenye maana eee? Acha ukakasi, ukafu, ufukufuku, upwilupwilu...
  3. Kine3

    Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

    Ni kweli utafiti wako ni sahihi, ndugu zetu hawa kwa asilimia kubwa ni watu waliojaa ukarimu na mapenzi kwa wageni.
  4. Kine3

    Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Tafuta mwanamke umuoe bila hivyo utaendelea kuwa ATM 24 hrs. Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
  5. Kine3

    Fatma Karume: Prof. Mbarawa hawezi kusaini Mkataba bila Idhini ya Mwanasheria Mkuu Jaji Feleshi ambaye ni Mtanganyika, ulizaneni wenyewe!

    Ule usemi wa Hayati baba wa taifa Uzanzìbari na Uzanzibara hapa sasa ndio linaanza kuonekana.
  6. Kine3

    Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

    Hupaswi kulipa kisasi hasa kwa mama yako, mpe huduma bila kuwa na kinyongo naamini utafanikiwa zaidi.
  7. Kine3

    Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

    Naunga mkono hoja, hao wanaoingiliwa kinyume na maumbile kuna washiriki wenza vidume uchwara wanaowaingilia wenzao nao wanastahili kupata hukumu kama hiyo (similar treatment).
  8. Kine3

    Naomba kujua hiki chakula kinaitajwe?

    Nguna hiyo kaka (Tz staple food) Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
  9. Kine3

    BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

    USHOGA, ULAWITI, USAGAJI upingwe kwa gharama yoyote iwayo. Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
  10. Kine3

    Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Naunga mkono hoja. Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
  11. Kine3

    Ukiona Picha hii Unajisikiaje?

    Nikiona picha hiyo najisikia NÒ ESCAPE FROM SOBIBO. Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
  12. Kine3

    Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

    Ulitakiwa uwapigie NHIF kwa namba uliyoelekezwa na huo ujumbe kwamba gharama hizo huzitambui.
  13. Kine3

    Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

    Soma vizuri hujamuelewa mtoa mada. Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
  14. Kine3

    Serikali itafute njia mbadala kushughulika na wahalifu wa 'Tuma kwenye namba hii', kwenda kuripoti polisi ni kupoteza muda

    Kwani hii no 15040 imekuwa na mafanikio gani? Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
  15. Kine3

    Orodha ya Taasisi za Serikali ambazo hazipokei simu pamoja na kuweka namba za simu mtandaoni

    Kwani ring tone ilikuwa inaongea lugha ya malkia? Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom