Recent content by Kindok20

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

    HUYO NAE KAISHIWA SERA AJIANDAEE KUSHINDWA 2025
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio kwa ramani hii

    BATI ZA WEZA INGIA 100 AMBAZO NI KUANZIA 5,000,000
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    alitoa mawazo yake na akili yake aliifanyia kazi na wewe umeleta nini au ndo kuandika tu stupit
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    laana unazo wewe afadhali yeye alishajijua yupo wapi na wewe utakaangwa na shida zako humu humu duniani stupit
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    hata wewe bata mzinga utakwenda for good na kusahaulika vile vile bwege unaandika utafikiri utaishi milele stupit
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda

    MMh! shost vumilia tu ndoa ndo ilivyo atajirekebisha acha kukata tamaa mapema mtangulize mungu mbele utavuka tu "I tell you" mie ninauzoefu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    we ngoja tu maduka ya game yote yanafungwa tutaelewa tu, halafu tozo mara kodi ya nyumba mmmmh:(
  8. K

    JamiiForums Tanzania Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

    Kwa maoni yangu tu hapati mark my words
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Nakuunga mkono 100% ni vibaka na bado wananchi tushachoka wala rushwa wakubwa na ngoja wakomeshwe hiyo ndiyo picha imeanza mchezo unafuata
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    We nae huyu si gaidi wala nini haya ni matokeo ya kutokutenda haki na kudhurumu mali za watu wanyonge kawakomeshaje na bado RIP Hamza
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Naona hiyo ni tozo tutaheshimiana tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    NA HISI WAMETIA TIMU MAANA TUTAHESHIMIANA TU
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

    MBONA TUMESIKIA HUYO PADRE ALIYEFARIKI ALICHANJA
  14. K

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    weweee uhabari wanaochanja wengine wamekufa wewe!!!
Back
Top Bottom