Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Jiwe mjaa laana yule ameiharibu nchi. Huko aliko akaangwe na moto wa jehanamu
Ni wapumbavu wanaweza amini Maneno yako kwa sababu tu wewe ni Mtumiaji wa madawa ya kulevya Na Mwenye cheti feki ambaye uliingizwa kazi Na Shemeji yko. Kwahiyo Mwenda zake alikugusa pole sana na naamini utakuwa umeacha cocain sasa Na umetoka sober house Na umeanza kujiendeleza kielimu.
 
Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA 🤣🤣🤣
hata wewe bata mzinga utakwenda for good na kusahaulika vile vile bwege unaandika utafikiri utaishi milele stupit
 
Moja ya sifa za utawala Bora duniani Ni uwazi kwenye matumizi ya raslimali za Nchi.
Tatizo la watu kuomba taarifa ya matumizi wa fedha zao Ni lipi?
Au unadhani Kama Magufuli alikopa, Ni familia yake watalipa?

Kama alikopa na kutumia kwa mujibu wa taratibu na sheria, hofu ya kuomba ukaguzi inatoka wapi?

Tena nadhani ndio ingekuwa vizuri mikopo hiyo ikakaguliwa ili marehem awe cleared.
Tusianzishe upashkuna usiokuwa na sababu
Sawa na Chato Airport, tenda ilitangazwa ? ikaguliwe na kama tatatibu zilifuatwa na pesa ilitoka kifungu gani,
 
Upinzani ni natural phenomenon: uko mioyoni. Wapo waliodhani upinzani ni brand name ya CHADEMA. Sasa wao ndio “pinga pinga” kama walivyokuwa wakidhihaki. Na kama hawaijui CCM vizuri wakiendelea kumbeza mama, ndipo watakapojua maana halisi ya kuwa mpinzani Tanzania.
... Upinzani ni dhana pana...
 
Kukuelimisha ni mzigo bro sitapoteza muda tena kwa heri.

Umechoka mwenyewe, zuzu lina maana kwa kuwa Jiwe alikuwa waziri wa ujenzi awamu ya Kikwete basi na barabara zilizojengwa awamu hiyo zilikuwa zake na hata alipokuwa rais vilevile barabara zilizojengwa akiwa rais ni zake pia.
This level of stupidity only fools can comprehend.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi Nchi zetu ukiwa Rais unaamua kila kitu bila kupingwa. Hakuna angezuia maamuzi yaliyofanyinywa.
So what? Muhimu ni hawa wawili wanaojadiliwa na mleta thrd. Nionavyo; JPM alifanya makosa mengi na mema mengi. Tatizo ni uwezo wa hawa wanaojidai kukosoa. Nape na Makamba wote ni elimu duni, na uwezo duni. Ni muhimu tupate wenye uwezo ambao tunaweza hata kuwauliza maswali. NOT these two incapables!
 
Ndugu yangu mleta mada,ya kwetu macho,kuna mabarakala humu wala si mabwenyenye,ila ni vijana wanaopewa hela ya vocha tu ili kutukana na kuchagua,lkn hebu mwambie asimame kariakoo ayaseme hayo maneno kama atatoka salama,akapigwa kama mwizi,
 
Back
Top Bottom