Recent content by kindimu

  1. kindimu

    JamiiForums Tanzania ipi bora kati ya kupitia technical college au kwenda advance?

    Sio kweli kwamba lazima usome kitu hichohicho kwenye ngazi ya digrii unaweza badili angalia vizur kitabu cha tcu
  2. kindimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Hujielewi
  3. kindimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia "huna hela wewe"

    Kabisaaaaaaaa
  4. kindimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hii ni sahihi? Naomba ushauri tafadhali

    Huyo ajitambui na ukiendelea kumdekeza anakuletea HIV piga chini ili aende kwa uyo X sindio anaemuona kuwa wa muhimu mpaka hakusikilzi,ikiwezekana na makofi kabisa.
  5. kindimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! tuwe na HURUMA KIDOGO

    Leo mhuuuuu........
  6. kindimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya kuwa 'Housewife' na maisha ya sikuhizi...unalionaje hili jambo?..

    Umeongea kutu cha msingi Sana maana hakuna mtu anayeijua kesho ni vizur wote kujiashughulisha .
  7. kindimu

    JamiiForums Tanzania Ubinadamu ni kusaidiana,naomba usaidizi wako hapa,

    Naunga mkono.
  8. kindimu

    JamiiForums Tanzania Kupanda msahara wa wachimba migodi afrika kusini walimu tanzania mmejifunza?

    Sawa,ila mwl apunguze jazba mana kila fani ni muhimu katika ulimwengu huu.
  9. kindimu

    JamiiForums Tanzania Dada zangu jana hakukuwa na mpiraa wala mechi yoyote!!

    Huyu jamaa huwa ni mgonjwa wa akili na atakua ametoroka mirembe kabla dozi yake haijaisha.
  10. kindimu

    JamiiForums Tanzania Bodi wafanya ujinga,,,,eti ukimaliza miaka mitatu iliopita,,,upati mkopo,,hivi hii ni sababu kwel?

    Mkopo muda mwingine ni kamali ila kwa wale wa wanaosomea koz za sayansi wengi wanapata mi ninarafiki zangu mwaka Jana walipata tena % wapo sua na Dit
  11. kindimu

    JamiiForums Tanzania Kupanda msahara wa wachimba migodi afrika kusini walimu tanzania mmejifunza?

    Jamani mim nilivyomuelewa mleta mada hana nia mbaya ila anachotaka yeye walimu wawe na umoja kwan kila Kazi ni muhim .
  12. kindimu

    JamiiForums Tanzania Kupanda msahara wa wachimba migodi afrika kusini walimu tanzania mmejifunza?

    Endelea kujifariji na hiyo 589000 najua ikigongwa makato inayobaki ni siri yako lkn mkuu anahimiza umoja ili nanyi Yale mapunjo yenu muwe mnalipwa kwa wakati .
  13. kindimu

    JamiiForums Tanzania Vijana tuwe na moyo wa kujiajiri wenyewe

    Lila mtu anapenda kumiliki vyake ila nafikir tatizo ni mitaji
  14. kindimu

    JamiiForums Tanzania Mkopo diploma ya ualimu, tunaombaje?

    Ndio naanza kusikia ila Ngoja waje .
Back
Top Bottom