Recent content by kindimba

  1. K

    JamiiForums Tanzania TPSF: Miaka mitatu ya Magufuli yaleta mafanikio katika biashara ya sekta binafsi nchini

    Kumbuka Mr. Teri ni Mkurugenzi wa Sera na Utafiti ndani ya TPSF, hawezi kuongea blah blah bila takwimu sahihi!
  2. K

    JamiiForums Tanzania TPSF: Miaka mitatu ya Magufuli yaleta mafanikio katika biashara ya sekta binafsi nchini

    Mkurugenzi wa sera na utafiti wa taasisi ya sekta binafsi nchini (TPSF) Mr. Geliadi Teri amepongeza miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya tano kwa kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wa sekta binafsi nchini. Akizungumza katika kipindi cha Mizani ya Wiki kinachorushawa na AZAM TV Bwana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

    Mkurugenzi mkuu wa ATCL Engineer Ladislaus Matindi ametoa ufafanuzi wa tukio la kusimama kwa ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner kuwa ni matenegenezo ya kawaida kuangalia sehemu za marekebisho ikiwemo wi-fi systems baada ya safari za majaribio na mafunzo ya marubani. Aidha ameeleza kwamba...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA walijiua wenyewe BUYUNGU

    Source imeonesha wazi kabisa jinsi CHADEMA ilivyoshindwa kuwekeza kwa dhati katika kata tajwa ambazo CCM waliwekeza kimkakati baada ya kushindwa 2015, hilo hamlioni au gazeti la MTANZANIA nalo linachapishwa Lumumba?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA walijiua wenyewe BUYUNGU

    Morning guys! SIKU moja baada ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, kukiri kwamba Uchaguzi Mdogo Jimbo la Buyungu ulikuwa mgumu, mengine mapya yameibuka. CCM ilishinda uchaguzi huo uliofanyika Jumapili, huku pia ikishinda uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 36...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Hatutaki maandamano yainfluence hukumu, nakusihi Sana mheshimiwa hakimu tenda kazi kwa weledi leo bila kuogopa makelele ya waandamanaji
  8. K

    JamiiForums Tanzania ShyRose amuomba radhi Rais Magufuli kwa ujumbe uliosambaa kutokea kwenye akaunti yake ya Instagram. Asema alidukuliwa

    Tatizo ni kukosa ubunge wa Africa Mashariki tu, sijaona mantiki iliyotoka kwenye kilindi cha moyo wake hapo bali mantiki iliyotoka katika ubongo wa tumbo lake tu. APAMBANE NA HALI YAKE!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa Chadema Siha Kupinga Matokeo Mahakamani

    Mbona lissu anashindaga kesi za uchochezi, hao mahakimu nao wamteuliwa na nani?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa Chadema Siha Kupinga Matokeo Mahakamani

    Hiyo ndio siasa tunayoitaka, siyo ile ya maandamano yasiyo na kichwa wala miguu!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Babu Tale, Fella, hayati Kanumba yana financial freedom kuliko wasomi wengi. Tunakosea wapi?

    Usifananishe elimu/ usomi na vitu vya ajabu. Majority ya wasomi hawaamini katika shortcuts (dili haramu, ushirikina, kafara, umafia etc) wanazotumia wasio na elimu kubwa katika kutafuta mafanikio ili kupambana na inferiority complex walizonazo ndani ya jamii. Nimekua na mmojawapo wa watajwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta link ya majina ya tuliopata mkopo ITA-Mwenge

    Duuh, nisaidie link niangalie jina langu plz!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naipongeza heslb, lakini kasi ya loan allocation ni tatizo!

    Naombeni link ya waliopata mkopo chuo cha ITA-Mwenge
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta link ya majina ya tuliopata mkopo ITA-Mwenge

    Habari wanabodi! Naomba link ya loan allocation kwa tuliochaguliwa institute of tax administration-ITA mwenge 1st batch
Back
Top Bottom